To hell kundi haramu la kumpindua Mbowe-PM7
aisee hebu fafanua ni mfumo gani huo unaouzungumzia?Kwanza napenda kusikitika hatua ya baraza la vijala la chadema kuwafukuza akina shonza na wenzie.. Wenyewe wanadhan hapo wameshamaliza kazi... kitendo walichokifanya bavicha ni sawa na kukata matawi na si mzizi .Ieleweke wazi hawa kina shonza wamezalishwa na system ndan ya chama.. BAVICHA NA CDM tatizo linaikabili chama hiko si usaliti ni SYSTEM ya uongozi na kitendo walichokifanya ni sawa na kula nyama ya mtu dhambi haitaisha cdm mpaka pale system ikibadilishwa
dah eti haya ndo maoni ya mmoja wa viongozi wa cdm,tatizo uchaga na ukanda ndio unapelekea kuwa na watu kama hawa
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.
Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana
Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.
Nawasilisha.......
Pro-Chadema wakati mwingine mnachekeshana eti Heche anajaza watu kuzidi JK..ha haa haaa........
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana......
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
[/QUO![]()
Mkuu Ritz angalia wingi wa watu Hongera Heche
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.
Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana
Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.
Nawasilisha.........