duh! kama kweli sample ya vijana wasomi wa tz ndo hawa wa jf taifa litaangamia
ila msidanganye watu cz wengine wakisikia kitu hapa wanachukua hivyohivyo
NB. vyakuambiwa changanya na vya kwako
Mh inaogopesha hata kuchepuka mweh!
Matumiz ya condom hutegemeana na idadi ya kukutana kimwili ns muda mkaao
hata kama idadi yako ni moja je unafahamu idadi ya mwenzio..??
Aisee condom ni lazima..Ila ukiwa na kiu hasa ndio mzuka tayari...haipo Dahh .......me no more comment
Kwa majibu haya wenye virusi katika uzi huu ni asilimia 80.
Kwa majibu haya wenye virusi katika uzi huu ni asilimia 80.
Unapima virusi kwa kuhesabu umri wa kudo;
shauri zako.
Kokote kule mkuu Condom LAZIMA kama kufa na binadamu...........Ukiwa dar es salaam condom lazima labda tu kama haujipendi