Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

T2015CCM Kwanza I'D yako inakusuta, kwani CDM imekosa nini kuondokewa na ZITO project ya Lumumba??
Usitokwe na povu bure kama imekufa si ni nafuu kwenu??
 
Last edited by a moderator:
huu kule kwetu tunauita utani wa ngumi........yaani alistahili aondoke na manundu bila ya Tabasamu......
 
Ccm inapedwa kwa kuwa ni chama cha watamzania wote hakina ubaguzi wa kikabila,kikanda au namna nyingine yoyote ile.

Kama hakina ubaguzi wa kikabila mbona mnaeneza ukabila hasa kwa kuwachukia wachaga kisa mbowe ni chadema na anawanyima usingizi nasema ccm mnaendelea kuwepo si kwa matakwa ya walio wengi bali kwa nguvu ya dola ukibisha nitaweka ushahidi Mara moja
 

Attachments

  • IMG_13752019623813.jpeg
    IMG_13752019623813.jpeg
    24.7 KB · Views: 55
T2015CCM Kwanza I'D yako inakusuta, kwani CDM imekosa nini kuondokewa na ZITO project ya Lumumba??
Usitokwe na povu bure kama imekufa si ni nafuu kwenu??
Mkuu, waulize Mbowe na Dr.Slaa ndiyo wanajua.
 
Last edited by a moderator:
CCM haipendwi ila inalazimisha Kwa kupendwa Kwa kuiba kura
 
Mtaji wa Ccm ni umaskini wa wadanganyika. Sahani moja ya pilau na kanga toka India watatoa kura halafu wanaendelea kuteswa.

wakati wa kutafuta kura ccm wanajitoaga fahamu kama hivi
 
amakweli wajinga ndio waliwao. Ndio maana nasema siku zote umasikini ndio mtaji wa hiki chama cha mapimbi. Ndio maana hawaoni shida kuziacha shule za kata zibaki hazina walimu wala vitendea kazi ili wananchi wengi wabaki na ujinga wao waendelee kutawaliwa
 
Hii ni Chalinze ya karne ya 21. Unaweza kupata nguvu gani za kuendelea kuwadanganya wananchi wa Chalinze kuwa wakikuchagua utawaletea maji na trekta za kuwalimia mashamba🙁
View attachment 146942

Na kweli wakakupigia vigelegele na kukupa kura! Mimi nimeamsha mikono

Ili uweze kumtawala mtu mnyime ilimu na ajira. Atakuwa submissive kwako hata kama akiwa baunsa vipi. Watanzania wengi hawana ilimu ya uraia, pia hata ilimu dunia baadhi ya maeneo hawana, ilimu ya a,e,i,o na u hawana baadhi ya watu hasa yale maeneo yaliyokaliwa na mwarabu. Hivyo hata upeo wa kuelewa na kudadavua mambo uko chini, zaidi wanaendeshwa na itikadi na hisia si upeo wa ilimu dunia kwa kichwa. Pilau inaweza ikawafanya watu wamchague mgombe, hembu peleka pilau pale udsm kisha uombe kura kama utapewa.
 
Hii ni Chalinze ya karne ya 21. Unaweza kupata nguvu gani za kuendelea kuwadanganya wananchi wa Chalinze kuwa wakikuchagua utawaletea maji na trekta za kuwalimia mashamba🙁
View attachment 146942

Na kweli wakakupigia vigelegele na kukupa kura! Mimi nimeamsha mikono

nimerudia tena kuangalia picha hii lakini machozi yamenitoka tena !
 
Back
Top Bottom