Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

MPIGA ZEZE

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
2,539
Reaction score
2,297
Hii ni Chalinze ya karne ya 21. Unaweza kupata nguvu gani za kuendelea kuwadanganya wananchi wa Chalinze kuwa wakikuchagua utawaletea maji na trekta za kuwalimia mashamba🙁
CCM chalinze 21st century mjengwablog.jpg

Na kweli wakakupigia vigelegele na kukupa kura! Mimi nimeamsha mikono
 
Hela na nguvu ya dola inaongea si sanduku la kura. Aliowachakachua ndani ya chama kawapoza kiaina kwa fedha ndefu.
 
Kazi ya mbunge sio kwenda kuwajengea watu nyumba. Ni kuwatengenezea mazingira bora ya miundombinu na pia fursa za kiuchumi. Chalinze imekosa nini? Imekosa fursa gani? Tuache kulalamika kama wadada, twendeni kwenye ukweli
 
Mwana wa mfalme anaweza kuwapa fedha leo ndo maana wanasura za matumain
 
CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!
Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea chama chote kuangukia pua, Leo Hii kunawatu ambao hawawezi kumuangalia zitto usoni walitarajia kwamba atashindwa kwa kashfa zao za kutunga.

Zitto ni Hazina ya uongozi wa taifa hili na sio mburu....kenge, mhuni na jambazi wa magari wa Arusha ambae kwa bahati mbaya alipewa ubunge, kitu ambacho jamii nzima ya arusha ukiondoa wavuta bange na unga wanajutia. Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu.

Bilashaka Siku itakuja tutaona Chadema wakitaka maridhiano na Kamanda wa Ukweli zitto zuberi Kabwe, wataomba msamaha tu na wataomba waende pamoja kwa lengo la kutokudhuru chama zaidi ila zitto akili yake sio chadema, zitto akili yake ni watanzania wasonge mbele kimaendeleo kwa hiyo atasimamia msimamo wake Huo.

Jamii inajua msingi wa kumchafua zitto kuwa ni:

Msimamo wake Kuhusu Posho za wabunge ( kero kubwa kwa jambazi wa magari arusha).
Uenyekiti wa chama( ugomvi na Mbowe)
Msimamo wake kuhusu ukaguzi wa mahesabu ya vyama ( Mbowe, slaa, na team yao ya wizi).

Lakini majibu Kamili Chama kimeishapata kutoka kwa wananchi baada ya dharau waliyomfanyia Mh Zitto na Bado mpaka wamuelewe zitto!

Zitto kajielewa ndio maana anapingana na wanaotaka kuifanya chadema Kampuni ya wachaga.

CC: Mbowe
Slaa
Mnyika.
Lema.
TunDu.
Msigwa.
Sugu.
Zitto.
 
Hii ni Chalinze ya karne ya 21. Unaweza kupata nguvu gani za kuendelea kuwadanganya wananchi wa Chalinze kuwa wakikuchagua utawaletea maji na trekta za kuwalimia mashamba🙁
View attachment 146942

Na kweli wakakupigia vigelegele na kukupa kura! Mimi nimeamsha mikono

yaani mpaka inasikitisha sana..
 
hili kuwashawishi watu kama hao inaitaji kuwapa kanga na kilo moja tu ya sukari,na hilo ndilo wanalofanya ccm
 
yaani mpaka inasikitisha sana..
Heshimu mila na desturi za watu wa Chalinze unajifanya kushangaa wakati kwenu unalala katika nyumba iliyokandikwa kwa kinyesi cha ng'ombe.

@Ifweelo mijumba iliyojengwa Msoga kwa fedha za walipa kodi umeyaona??
Zuma amepelekwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya fedha za serikali!!
 
Ccm siyo kama chadema hapa ni mipano tu yatosha ilithubutu ilaweza na sasa inasongambele.

Mtaji wa Ccm ni umaskini wa wadanganyika. Sahani moja ya pilau na kanga toka India watatoa kura halafu wanaendelea kuteswa.
 
Mbinu kama hiyo ikifaa why wote wasiifuate..
kuifuta mbinu kama hiyo ni uuaji na ccm kwao sio tatizo hakuna mwenye busara anaeweza kutumia mbinu hiyo ni ccm pekee ndio inayotumia na ndio maana haioni sababu ya kuwapa watu maendeleo hasa wa vijijini
 
To be

kwa nini wote wasiifuate, kwenye vita huchagui silaha.
 
Back
Top Bottom