GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,065
- 6,768
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili kuna maeneo kadhaa hapa nchini pamoja na nyumbani kwangu, ambapo matangazo ya ITV & EATV (Startimes) yamekuwa yanakwama sana na kutoa picha mbaya na tena ni kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku. Sasa ni hivi kwa upande wangu ninapoona matangazo ya ITV hayaonekani vizuri huwa ni bora nikazima TV kuliko kuangalia habari ya TBCCCM.
Nawasilisha wakuu.
KILAKA.
ukweli ni kuwa ITV na EATV ni makampuni yanayoikosoa sana sirikali na ndio maana wanakomolewa na TBC na startime take.