Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

Achana na startimes mimi kisembuzi changu cha startimes nilikitupa siku nyingi

Nani kasema kuwa ccm inasimamia zoezi? ile taarifa inayosomwa itv mnaona kama inaisifu ccm? au mlishawahi ona tez anaonyeshwa itv kwa dk2?
 
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili kuna maeneo kadhaa hapa nchini pamoja na nyumbani kwangu, ambapo matangazo ya ITV & EATV (Startimes) yamekuwa yanakwama sana na kutoa picha mbaya na tena ni kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku. Sasa ni hivi kwa upande wangu ninapoona matangazo ya ITV hayaonekani vizuri huwa ni bora nikazima TV kuliko kuangalia habari ya TBC.

Nawasilisha wakuu.
KILAKA.
 
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili kuna maeneo kadhaa hapa nchini pamoja na nyumbani kwangu, ambapo matangazo ya ITV & EATV (Startimes) yamekuwa yanakwama sana na kutoa picha mbaya na tena ni kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku. Sasa ni hivi kwa upande wangu ninapoona matangazo ya ITV hayaonekani vizuri huwa ni bora nikazima TV kuliko kuangalia habari ya TBCCCM.

Nawasilisha wakuu.
KILAKA.

Hapo unataka uelewekaje labda! kichwa cha habari na maelezo unayoyatoa ni tofauti kabisa! au ulikuwa unatakuwaambia wana jf wasitizame tbc au ulikuwa unataka kuwaambia kuwa wewe hauko ccm!?
 
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili kuna maeneo kadhaa hapa nchini pamoja na nyumbani kwangu, ambapo matangazo ya ITV & EATV (Startimes) yamekuwa yanakwama sana na kutoa picha mbaya na tena ni kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku. Sasa ni hivi kwa upande wangu ninapoona matangazo ya ITV hayaonekani vizuri huwa ni bora nikazima TV kuliko kuangalia habari ya TBCCCM.

Nawasilisha wakuu.
KILAKA.

Kama unaweza badili king'amuzi mkuu.Weka Dstv au azam utakuwa umetatua tatizo hao Startimes wasikunyanyase wakati pesa unayo.
 
Hawa startimes wana nia ovu ..!

Kuna utafiti ulifanywa ikagundulika kuwa TBC ndio kituo kinachoshika mkia kati ya ITV,CHNL 10,Star tv katika swala la kutazamwa na watu na hii inatokana na sababu kwamba habari nyingi za TBC zinalenga kuwalinda watawala(CCM), wananchi wameligundua hili na wameamua wawe wanaangalia vituo vingine, kama TBC itakosa watazamaji itakufa kibiashara kwani makampuni hayatapeleka matangazo yake.
 
Hapo unataka uelewekaje labda! kichwa cha habari na maelezo unayoyatoa ni tofauti kabisa! au ulikuwa unatakuwaambia wana jf wasitizame tbc au ulikuwa unataka kuwaambia kuwa wewe hauko ccm!?

Mkuu hizo ni habari za kweli kabisa na imefanya mimi nihamie ting, isitoshe jana imetoka katika vyombo . ukweli ni kwamba taarifa ya ITV haina ubaguzi wa vyama wala propaganda,kwa hiyo watu wengi huipenda na ndo maana inafanyiwa saboteji. Kwa kuwa wewe unatumia DSTV za ninyi wakubwa, huwezi kujua kadhia hii.
 
Nilidhani ni kwangu tu kila siku nipo juu ya bati kucheza antenna kumbe kuna nia ovu kabisa...
Ntaunga cable sasa
 
Hata kwangu itv ni tatizo kweli taarifa ya habari ya saa 2 usk kutazama ni shida kubwa,startimes haitufai tena WATANZANIA na hao wafanyabiasha wa kichina wafanye biashara waache ujinga unless watapata hasara kwa upumbavu wao
 
Haaa...!? bado mnatizama hizo tv?! habari za uhakika hupatikana NHK, CNN, DW, BBC na AL JAZEERA.
 
Naona startimes nao wamesema, kuna muingiliano wa mawimbi kati itv na eatv. Wamesema hilo lipo nje ya uwezo wao, wamepeleka tcra kwa hatua zaidi. Sasa hapa kila mtu anamtupia mpira mwenzake. Ngoja tusikie nao tcra wanasemaje
 
yaani kumbe n startimes ndo wanafanya hivyo,m kila cku nlikua najua tatzo la itv bs ikifika saa 2 naweka startv kuangalia hbr.
 
Kwene dstv hakuna mambo hayo kabisa inaonekana vizuri bila tatizo nunueni dstv nawashauri kwa.muonekano mzuri bila tatizo
 
SAM_0253.JPG


Karibuni huku hutokaa ujutie katika maisha yako yote hapa duniani ukiwa ndani ya azam tv
 
Back
Top Bottom