Ahsante sana PRONDOCHIKIRA MTABARI kuna siku usioijua huo utaratibu unaweza kukusaidia. Labda ulikwenda ofisi fulani ukakaa kuanzia saa nne hadi sita. Bahati mbaya ukahusishwa na tukio la kihalifu muda huo huo. Hio saini yako kwenye hicho kitabu inaweza kukuokoa kama alibi.
Kwenye ofisi ya mtendaji?mimi naona lengo lao na utaratibu ni mzuri sana sema vifaa, vitendea kazi vyao ndo viko duni sana pale palitakiwa pawepo mashine za kisasa kabisa.
Nimevutiwa na mawazo yako ahsanteHakina maana yoyote! Labda kile cha ndani guest register lakini hivi vya walinzi waviondoe tu,waweke cctv getini tosha.kama mtu anania mbaya ataingia halmashauri kufanya nini?
Tatizo hali ya uchumi sio nzuri kuweka hivyo vifaa!!!mimi naona lengo lao na utaratibu ni mzuri sana sema vifaa, vitendea kazi vyao ndo viko duni sana pale palitakiwa pawepo mashine za kisasa kabisa.
sidhani kama mleta maada analenga sana hizo ofisi mkuu, hebu jaribu kusoma uzi wake mpaka mwisho labda utajua amelenga maeneo yapi!Kwenye ofisi ya mtendaji?
Yote ni mema Wgr30sidhani kama mleta maada analenga sana hizo ofisi mkuu, hebu jaribu kusoma uzi wake mpaka mwisho labda utajua amelenga maeneo yapi!
kaka ukiingia kwenye jengo la mtu bila ruhusa ni kuvunja sheriaHakina maana yoyote! Labda kile cha ndani guest register lakini hivi vya walinzi waviondoe tu,waweke cctv getini tosha.kama mtu anania mbaya ataingia halmashauri kufanya nini?
Hata hapa Mwanza nina baadhi ya majengo marefu wana huo utaratibu mfano hotel ya Gold Crest, Ecaclif na mengineyo. Natamani ofisi na mejengo mengine hata kama sio marefu wawe na huo utaratibu kwa ajili ya usalama. Isije ikawa kama huko MANCHESTER waliokuwa wanaserebuka halafu magaidi wakaharibu hali ya hewaPale PPF na NSSF nao wanautaratibu huo tena wao unakaguliwa na mashine kabisa. Nzuri kwa usalama
Habarini wana JF.
Mie huwa sielewi utaratibu unaotumiwa na ofisi mbalimbali za umma, kwa mfano hapa Mwanza nimeona utaratibu huo unatumika mageti ya kuingilia ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela.
Unapoingia getini (mgeni), walinzi wanataka uandike kwenye "kauntabuku" ukionyesha majina yako kamili, sehemu unapotoka, namba yako ya simu, ofisi unayokwenda, muda wa kuingia na kutoka.
Huwa najiuliza hivi utaratibu huu ni kutaka kupata idadi ya wageni waliotembelea ofisi hizo au ni kwa ajili ya usalama. Na kama ni kwa ajili ya usalama hivi mgeni ambaye ana nia ovu ataweka details zake za ukweli?!!
Ofisi za umma mnaotumia huu utaratibu huu, badilikeni. Tumieni mitambo ya kisasa kuwakagua wageni kubaini kama wana silaha za kudhuru au la!!
Shukrani kwa kunieleweshaWakati mwingine inasaidia inapotokea maafa. Kuporomoka kwa jengo. Inasaidia kujua idadi ya watu walokuwa ndani ya jengo
Aiseee!! kweli nimekubali kuanzia sasa nitasaini bila kinyongoNi kukulinda pia na wewe mwenyewe itakapotokea kuna madhara. Hilo kaunta buku liliwahi kumuokoa mtu asiende jela kwa kuwa kithibitisho cha yeye kutokuwepo eneo la mauwaji kama alivyosingiziwa!
niliwahi kwenda NSSF kahama wenyewe pale getini kuna mashine fulani hivi ya mkononi pale niliona afadhari kidogo.Ni kweli inasaidia kwenye suala Zima la usalama wa watumishi na mali za ofisi.
Safi sananiliwahi kwenda NSSF kahama wenyewe pale getini kuna mashine fulani hivi ya mkononi pale niliona afadhari kidogo.
Duh, ni hilo kumbeMfano kikitokea cha kutokea labda jengo likalipuka, inakuwa rahisi kujua nani na nani walikuwa ndani na hivyo ndugu wa waathirika kupata habari.