Kusaini kitabu cha gesti kilivyovuruga siku yangu ya valentine

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Mkasa wa kwanza

1.Tukiwa wote mapokezi, tulipewa kitabu tuandike majina, lakini mpenzi wangu akakataa, akataka mimi ndiyo niandike tu.

Nami nikakataa, nikiwa na hofu, kwanini yeye hataki kuandika kwani yeye si ndiyo mwanaume wangu na ndiyo kanileta na ndiye atayelala!.

Tumezozana, mwisho eti kakasirika akaamua kuondoka zake, basi nami nikaita boda boda na kurudi kwangu.
Kwani kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe na jukumu la kuandika jina la chumba?
Na kwanini mtu aogope kuandika jina ikiwa hajadaiwa hata Nida?.

Mkasa wa pili
2. Nikiwa chumbani, mhudumu alileta kitabu cha kusajili wanaolala pale gesti, mwenzangu alikuwa chooni.
Nilikipokea na kuangalia sehemu ya kuandika, najuta sijui kwanini nilisoma majina yasiyonihusu, niliposoma nikakutana na jina la mwanaume wangu niliyekuwa naye, kutizama mpaka namba ya simu ni yake. Kumbe siku mbili nyuma alikuja hapa na kulala, lakini mbona hakuniambia na sio kawaida yake.

Nilimuomba mhudumu aondoke, yaani nilijua kubeba vitu vyangu na kuondoka.
Inamaana ile gesti ndiyo kafanya kama ndio nyumba yake ya upasuaji?.

#imarika na mmmuhumba
#Mikasa ya mapenzi ipo na unaisoma inakupa nafasi ya kujijenga, kama uko na tabia hiyo ujiweke sawa.
textgram_1676238165.jpg
 
Huyu sometimes anakua me sometimes anavaa character ya ke
Santos, hii nimewakilisha. Ila kubwa ni maadhui, huwa sijawahi kuzungumzia maisha yangu hata siku moja, huwa ni matukio ya jamii, napo yaleta huwa yanahitaj ushauri.
Napopata mawazo huwa nami yananijenga, kwa mfano huo mkasa wa kwanza, mwanaume anaona mwanamke ndiyo mwenye kosa na amemuacha tayari, unatakiwa kumshari huyo au kurudisha hilo penzi lao wasamehane, hiyo ndiyo kazi yangu. Mawazo yako ni muhimu.
 
Santos, hii nimewakilisha. Ila kubwa ni maadhui, huwa sijawahi kuzungumzia maisha yangu hata siku moja, huwa ni matukio ya jamii, napo yaleta huwa yanahitaj ushauri.
Napopata mawazo huwa nami yananijenga, kwa mfano huo mkasa wa kwanza, mwanaume anaona mwanamke ndiyo mwenye kosa na amemuacha tayari, unatakiwa kumshari huyo au kurudisha hilo penzi lao wasamehane, hiyo ndiyo kazi yangu. Mawazo yako ni muhimu.
Umesomeka
 
Mbona hqujasema ivo kwenye preamble kule juu?

Lakini pole kwa maswahibu yanayokukuta guest house kila siku
Msaanii, gest moja mara mbili kama chumba cha upasuaji yani ukiingia mapokezi wanakujua " jamaani kaka si chumb kile kile chako"
 
Gesti uliyozea kutombea ata jina huwa hawaulizi ni karibu unalekezwa uwanja wako wa vita. Hii habari inashida kidogo, mtu chumba chake cha upasuaji ya nini kumbukumbu
 
Huo mkasa wa kwanza tulishausoma humu tena ni jamaa ndo alikuwa anaomba ushauri,,anyway acha tujifunze pia kuhusu hii mikasa.
 
Back
Top Bottom