Na kwanini ufuate mkumbo wa kundi limeelekea wapi, jifunze kusimamia mawazo yako hata kama yanakinzana na majority, kuwa tofauti na wengine si dhambi.Ww jamaa bana!!
kundi likiwa linaelekea kulia...
ww unajitenga unaenda kushoto!!?
kundi likielekea kushoto.....
unajitenga unaenda upande wa kulia..
anyway ndio brand yako lkn.,
Hakuna ubaya wwte....Na kwanini ufuate mkumbo wa kundi limeelekea wapi, jifunze kusimamia mawazo yako hata kama yanakinzana na majority, kuwa tofauti na wengine si dhambi.
Namba yako tafadhari mkuu.Mwaka jana kipindi kama hiki cha kukaribia xmas kuna mdada alinitumi elfu kumi. Kabla ya mwaka mpya akapata mchumba. Kuna trafik police slinitumia elfu hamsini. Kabla ya mwaka mpya akapandishwa cheo. Kuna mwana CCM alinitumia laki, juzi kashinda bila kushindana. Kuna konda alinirudishia chenji badala ya mia sita kanipa elfu tisa mia sita sasa hivi ni dereva na leseni juu.
Sikuambii unitumie pesa ila ukiangalia huo mtiririko huhitaji kuambiwa ona
Kaa na pesa zako na bahati hii huipati tena[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] bahati nzuri kati ya vyote hakuna nachohitaji
Inbox a.k.a pmNamba yako tafadhari mkuu.
Mwaka jana kipindi kama hiki cha kukaribia xmas kuna mdada alinitumi elfu kumi. Kabla ya mwaka mpya akapata mchumba. Kuna trafik police slinitumia elfu hamsini. Kabla ya mwaka mpya akapandishwa cheo. Kuna mwana CCM alinitumia laki, juzi kashinda bila kushindana. Kuna konda alinirudishia chenji badala ya mia sita kanipa elfu tisa mia sita sasa hivi ni dereva na leseni juu.
Sikuambii unitumie pesa ila ukiangalia huo mtiririko huhitaji kuambiwa ona
Well said!Hakuna ubaya wwte....
nime-highlight character yake....
infact anaweza kuwa sahihi kuliko kundi
Kicheko humuweka daktari mbali na huongeza muda wa kuishi duniani. Vilevile huondoa stress na kumfanya mtu awe mwepesi kazini.Nimecheka had nimehis vichomi🤣🤣🤣
Ww jamaa bana!!
kundi likiwa linaelekea kulia...
ww unajitenga unaenda kushoto!!?
kundi likielekea kushoto.....
unajitenga unaenda upande wa kulia..
anyway ndio brand yako lkn.,
Mbona kichaa anaposaidia watu anataka asifiwe na Kila mtu, anapenda Sana sifa lakini mnakaa kimya tuUnapotoa usitegemee asante, fanya hayo kwa kumshukuru Mungu kwa kile alichokupa. Christmas inakuja, kuna familia haziwazi hata sikukuu itakuwaje matatizo ni mengi. Kuziwezesha familia hizi kula mlo wa sikukuu si jambo dogo. Fikiria. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji116][emoji116][emoji116][emoji120][emoji120][emoji109]
Tuwekee na namba yako ya simu mkuu...Mwaka jana kipindi kama hiki cha kukaribia xmas kuna mdada alinitumi elfu kumi. Kabla ya mwaka mpya akapata mchumba. Kuna trafik police alinitumia elfu hamsini. Kabla ya mwaka mpya akapandishwa cheo. Kuna mwana CCM alinitumia laki, juzi kashinda bila kushindana. Kuna konda alinirudishia chenji badala ya mia sita kanipa elfu tisa mia sita sasa hivi ni dereva na leseni juu.
Sikuambii unitumie pesa ila ukiangalia huo mtiririko huhitaji kuambiwa ona.