Kusafisha Nyota Kwa Mganga - Shutuuuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusafisha Nyota Kwa Mganga - Shutuuuu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Allien, Jun 7, 2012.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
 2. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ipo kazi . . .
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  Hamna noma, naona wako busy kufanya matusi kinguonguo.
  H
   
 4. r

  r2ga JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 528
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Kwa jinsi jamaa alivyo mng'ang'ania lazima nuksi itoke..,
   
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu r2ga haya mambo yanatokea sana nasikia, hasa vijijini.

  Kuna usemi umezuka mjini wa kusafisha nyota kwa mganga. Nani ajuaye yanayotokea mkiwa wawili na mganga? Ni hidden camera tu ndo zitajua.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Bujibuji si kufanya matusi Mkuu ni kusafisha nyota ili mambo yako yanyooke.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahah mbavu sina,mie nataka nitoe nuksi ya kupewa ban humu jf,ila kama masharti ndio hayo yatanishinda....naskia waganga hawaogagi...si unamcheki dada hapo juu alivyoweka pua pembeni?
   
 8. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Mkuu kumbe na wewe una mambo hayo hiyo picha ulipiga ukiwa wap?
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Wapo wanaoweza. wala sio jambo la ajabu sana hapa kwetu nchini.
   
 10. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,805
  Likes Received: 6,315
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine bana...swala la mganga kum'mega mtu na kuondoa mikosi aka kusafisha nyota vina uhusiano kweli? wajinga ndio waliwao
   
 11. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  hilo ni muvi la kinaija
   
 12. sister

  sister JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  wakati mwenzako anausikilizia utam.
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Allien , ni suala la kuporomoka maadili, umasikini na tamaa ya mali. Kwani hili lina tofauti gani na 'changu' anayejiuza pale 'corner bar' (au kwengineko) kwa pesa isiyozidi elfu ishirini kwa wanaume hata asiowajua?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Duh! kama ndo hivyo,na mie naanza kazi ya uganga niki specialize kwenye kusafisha nyota, ila siku akija mteja mwanaume nakimbia ofisi
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ikiwa ameenda kwa mganaga na kumwabia hata "salamu sipewi wacha kutongozwa", unafikiri mganga anapata meseji ipi? kuwa huyu mteja wangu hapati pati ile kitu, ngoja nimsaidie kwa kumuondolea ma frustration ya kuikosa.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni muvi,hakuna mganga mwenye mwili wa mazoezi namna hiyo.
  Na wala sijawahi kuona mganga model.
   
 18. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nasikia asilimia kubwa ndio mchezo wao na wateja wao wakuu ni wake wa vigogo
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  duh! hapo naona anayesafisha nyota ni huyo sangoma, Mungu ampe nini bi dada kajipeleka mwenyewe!
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sijawahi kuamini hii kitu ya kusafisha nyota....sijui kwa nini.....
   
Loading...