Kusafisha Nyota Kwa Mganga - Shutuuuu!

Kusafisha Nyota Kwa Mganga - Shutuuuu!

Hapo naona anamwingizia dawa vizuri,na nyota inang'aa taratiiib
 
dada kaisha, hawasafishi nyota ila wanasafisha mb**% ya mganga,
 
Labda wataalam tuwasaidie, kawaida kwa sisi tunaosafisha nyota dawa ya kusafisha nyota uwa tunaiweka kwenye uume sasa nyota lazma iingie popote kwenye tundu la umsafishae iwe mdomoni au ukeni, naomba msishangae na yeyote mwenye kutaka kusafisha namba yangu ni T 126 ABK
 
mimba ikipatikana hapo, mtoto ataitwa nyota ndogo??
 
Hii wanafanya sana, tena si tu kusafisha nyota...hadi kutafuta watoto.
 
sijawahi kuamini hii kitu ya kusafisha nyota....sijui kwa nini.....

Kwanza uamini kuwa Ipo/Unayo Nyota. Pili je kama unayo ni kweli yaweza kuchafuka? Na tatu kama yaweza kuchauka au kuchafuliwa je yaweza kusafishwa?
Na baada ya hayo ndio hatua ya kuamini ikamilike na ile ya kutafuta Msafishaji Itafuata.
Jitahidi uendelee kutoamini once ukiingia kutoka ni kazi mno....................
 
Mbona kama candlelight dinner hiyo...mambo ya maromance..hahahah...
Hamna cha kusafisha nyota wala nini hapo.
 
Back
Top Bottom