Kusachiwa wanaume.....

Kusachiwa wanaume.....

Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:

Ooooh mama!!! unaikimbia presha teh teh teh teh piga sachi bhana........
 
cacico unashangaa? ndo vijimambo majumbani hivi.....
mi siwezi kuwapinga! ujue kila banda na utaratibu wake! mara umemsachi unakutana na picha ya mama yako mzazi na yeye wapo kama walivyo, si mtu waeza kufa wallah! hebu jamani endeleeni tu kusachi, khaaaaaaaaaa!
 
Hahahaha uko mbali sasa mpaka iwe hivo mmmh!
Ila kwa dunia ya sasa yawezekana maana imani za kishirikina zimetawala sana........
 
Mmmmmmh huu uongo sasa hayo maandiko yameandikwa wapi?
Halafu wanawake hawahangaiki wenyewe wanahangaikiwa................

Maandiko hayo yako ktk Biblia.
Sasa kama mnatuhangaikia,kwanini mtake kutusachi na sisi?
 
ni mwandishi gani na mlango gani na mstari gani kwenye bible nikasome?
Tunawasachi kwa sababu sasa hivi mnataka usawa ati!!
 
Madame B, nilishajiapiza kutofanya search kabisaaaaaaaaaa! kwanza hata cjui ku-unlock cm yake, huwa ananishangaa, ikiita natuma binti zake wamfikishie haraka cm yake, ctaki matatizo mie jamani. na hii imenisaidia sana, niliyonayo yatosha khaaaaaaaa!

Dizaini hyo nshawah ishi nae,
dawa yake ni kumfanyia mema mpaka nafsi yake imsute.
 
Last edited by a moderator:
ni mwandishi gani na mlango gani na mstari gani kwenye bible nikasome?
Tunawasachi kwa sababu sasa hivi mnataka usawa ati!!

Fungua Waamuzi.
Mstari nimesahau.

Sasa kama tunataka usawa ndio mtupige sachi?
Halafu mwingine anakwenda Mbali zaidi,anakusachi eti kama umetoka kulala na mwanaume.
Nyiee...!!!
Wabaya sana.
 
Labda kama ananisachi kwenye nyeti tuu...sio wallet
 
Fungua Waamuzi.
Mstari nimesahau.

Sasa kama tunataka usawa ndio mtupige sachi?
Halafu mwingine anakwenda Mbali zaidi,anakusachi eti kama umetoka kulala na mwanaume.
Nyiee...!!!
Wabaya sana.
Hapo kwa red, eti anakusachije Madame B? Njoo nisimulie kwa PM, hapa watoto wengi........
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
Yaani mwalimu wangu Madame B ndo ivo uko?
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa red, eti anakusachije Madame B? Njoo nisimulie kwa PM, hapa watoto wengi........

Kwa mashart maalum lakini.
Nikishakuelezea kwa PM, then tunakuja ktk matendo.
Ila nilazima uwe na mpunga mfukoni.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mashart maalum lakini.
Nikishakuelezea kwa PM, then tunakuja ktk matendo.
Ila nilazima uwe na mpunga mfukoni.
Mpunga si utakusumbua kukoboa? Nakuwa na mchele kabisa.

Haya twenzetu basi acha longolongo mingi...
 
Back
Top Bottom