Teh hawaelewani haokwa sababu wamezidi ubahili, pesa haijulikani zinapoenda. kila siku hakuna maendeleo wakati mwanaume ni bosi mkurugenzi kitambi manager
kwa sababu wamezidi ubahili, pesa haijulikani zinapoenda. kila siku hakuna maendeleo wakati mwanaume ni bosi mkurugenzi kitambi manager
Mie nina Swaiba wangu, several time hunipa malalamiko kua Shem (wife wake) humsachi .
Btw nilipofanya research nikagundua bingwa wangu alishafumaniwaga na ndomu!
So far sababu kubwa ni mbili, kama si mavumba yasakwayo basi issue za kiivo.
hivi wanawake wenzangu mnafanya kweli haya?? mmhh watu wana muda aisee!
hivi wanawake wenzangu mnafanya kweli haya?? mmhh watu wana muda aisee!
Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
Mpendwa cacino,
Me nahs ntakuwa nimezidi.
Maana napiga sachi kuanzia kwenye Boxer yake(kama amevaa ile yenye ka-mfuko),soksi,viatu,suruali mpaka katikati ya Laptop.
Maana mijanaume ya karne hii imezidi ujanja.
Hela ya Mezani si ana acha nyumbani sasa mtu akirudi tu anasachiwa, tena akiwa tilalila ndo usiseme....
Madame una uwezo upi wa ziada kuzijua aina mbalimbali za boxer ?
Sijui zenye mifuko! Others with bare pocket na wewe si user?
Na mijanajike mbona haisachiwa na ni mijanja hiyo......
Sisi ndio wa kutumia hzo fedha zenu,unataka kuzibania ili ukapigie round bar?
hv Kimbweka unaweza mpiga sachi G/f, Fianceè whtv Mkeo?
Labda uwe umefunga kitambaa usoni,
othrws, hunipigi sachi hakyamungu.
Hahahahaa Madame B umenichekesha kweli maana nikianza kukusachi tu nalegea hapo hapo na kinafuatia kitu kingine tofauti......................
Aaa..!! Wapi,
labda uwe umepukutisha mifuko yako yote,
May b n'tafikiria endapo utalegea.
La sivyo...mmhhh!!
Hata kwenye maandiko wamesema
"...ole wao wale waume wanaothubutu kukimbilia kukagua mapochi au miili hata mavazi ya wake zao mara tu warejeapo mihangaikoni,
Kwa maana imeandikwa Mke ni Mkeo tu hata akizalishwa nje...bado atatambulika ni Mke wa fulani..!!!"
Mwisho wa Kunukuu.