Kusachiwa wanaume.....

Kusachiwa wanaume.....

kinachonifanya nisipige sachi shemeji yako akirudi home ikishafika saa mbili hakuna simu zinazoingia kwake, na ukikuta simu imeingia zaidi ya muda huo ujue emergency,
halafu hana hata presha anaweza iweka mezani akaendelea na shughuli zake...
nikihitaji kuitumia (lets say kumpigia mtu, usishangae mie mbahili by nature) atanielekeza ilipo niitumie( bahati mbaya sipatagi wazo la kuisearch)....

kwa kweli hajanipa sababu ya kuisearch, kama ana small hauz unadhani utajua?
small hauz nyingine zinajua kula na kipofu....




BT ina mana ulikuwa hupigi sachi?
Shtuka..,
Bila sachi ndo hupelekea tabia ya baadhi ya wanaume kuchelewa kurudi home,maana humtafuta mwingine wa kumsachi.
 
Back
Top Bottom