mkuu hao pccb naona wamefikiria mbali sn namoja wapo hili la dot com generation kurushwa madarasa. kikubwa mtoto aanze shule mapema ili amalize la saba na umri mdogo.
Ndio maana namchombeza The Boss tuanzishe shule ya watoto wenye vipaji maalumu, elimu ya msingi 4 years, secondanry 3 years na baadaye chuo, ambapo ukiweza maliza course works zote kwa mwaka wa kwanza, wa pili ni research unapata degree yako. At the age of 18 mtoto anafanya PHD. LOL
Hii mada inahusu MMU ya kielimu, kwa hiyo mods msiihamishe maana nimeiweka hapa kwa wadau(wazazi na wazazi wa baadae)
Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza, wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo, akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.
Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la nne kabisa.
Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.
- Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
- Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?
Next week nitakuja na 'kupeleka watoto shule za bweni kwa elimu ya msingi na shule za awali)
cc EMT Dark City King'asti gfsonwin snowhite Kaizer Kaunga watu8
sasa si ungejirusha.!
Una save muda wa nini? Nani kasema kachelewa na kwa vigezo gani?
Ni kweli watoto wanaorushwa madarasa hawaharibikiwi?
Kim Ung Yong 210 IQ
This South Korean has a tremendous capacity for both numbers and languages. He started speaking when he was only six months old. By the time he was three years old, he could read several languages already, including Korean, Japanese, German and English, as well as solve complex calculus problems. He also wrote poetry in Chinese and Korean and compiled enough essays and poems for two books. He was already auditing college courses when he was four. NASA then invited him to study in the U.S. when he was eight. By the time he was a teenager, he was already working for them. He then returned to Korea and switched fields from physics to civil engineering. He then published 90 papers about hydraulics.
Kongosho
Hii mada inahusu MMU ya kielimu, kwa hiyo mods msiihamishe maana nimeiweka hapa kwa wadau(wazazi na wazazi wa baadae)
Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza, wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo, akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.
Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la nne kabisa.
Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.
- Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
- Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?
Next week nitakuja na 'kupeleka watoto shule za bweni kwa elimu ya msingi na shule za awali)
cc EMT Dark City King'asti gfsonwin snowhite Kaizer Kaunga watu8
Hii mada inahusu MMU ya kielimu, kwa hiyo mods msiihamishe maana nimeiweka hapa kwa wadau(wazazi na wazazi wa baadae)
Jana nilipeleka kijana kufanya mtihani wa kuanza kidato cha kwanza, wakati niko pale kukawa na akina mama wengine. Katika maongezi mama mmoja akasema kaleta binti yake wa darasa la sita kufanya mtihani huo, akifaulu anaruka la saba na kuanza kidato cha kwanza.
Na kuwa wakati, kuna mama mmoja tunafanya naye kazi alimrusha binti yake toka darasa la tatu na kuingia la tano, maana yake hakusoma darasa la nne kabisa.
Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.
- Unapomrusha mtoto darasa hakuna hasara yeyote? iwe kielimu, mahusiano yake na wanafunzi wenzie na saikolijia nzima ya mtoto(Ukizingatia mchana na usiku anakula ugali-kuna sred niliona mtu kasema ugali unasababisha mtu awe kilaza)
- Kuna faida yeyote kurusha mtoto darasa?
Next week nitakuja na 'kupeleka watoto shule za bweni kwa elimu ya msingi na shule za awali)
cc EMT Dark City King'asti gfsonwin snowhite Kaizer Kaunga watu8
So far ninavyojua wanaorushwa madarasa ni wale wenye vipaji maalumu. Hata hivyo, huwa hawarushwi kiana hivyo. Mzazi hawezi kuamua tuu kumpandisha mwanae darasa, japokuwa wengine tulishakumbwa na kadhaa ya wazazi kutaka kutushusha darasa kisa eti kiumri bado ni wadogo sana (hatujabalehe) pamoja na kuwa tulikuwa tunakutana na ma-girlfriends wetu kutoka girls school ya jirani kila jumapili ya mwisho ya mwezi kwenye zile sherehe za UKWATA.Sasa mie nataka kujua kutoka kwa wadau.