VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kwamba Dr.Slaa amepigwa mawe na mkutano wake wa Kasulu kusambaratishwa kwa mabomu ya machozi ili kumponyayapi hayo?
Kwa kweli Tumaini Makene haupo kwa wakati japo mitandao huko inaweza kuwa tabu ila nafikiri hata wengine wanatuma habari hizo wakiwa huko huko kwanini wewe usubiri kuja kusafisha uongo ambayo ni kazi sana??Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.
cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwamba Dr.Slaa amepigwa mawe na mkutano wake wa Kasulu kusambaratishwa kwa mabomu ya machozi ili kumponya
Mzee Tupatupa
Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.
cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kazi zimewashinda hawa... Yaani habari za Chadema tunaletewa na CCM zikiwa zimeishatiwa chumvi nyingi tu.. Tumaini Makene mmeshindwa kazi..
Ila tukubali ukweli Kurugenzi ya habari inataka watu sharp kweli.
Wanajitahidi lakini kazi zao huku mitandaoni bado si nzuri sana.Uongo unakanushwa too late ukiwa umesambaa sana na mbaya zaidi makanusho haya sambai kwa kasi ile ile ya uongo!!
Tukubali mitandao imefanya kazi kubwa sana kuijenga CDM hivyo hawa watu wawezeshwe zaidi.
Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.
cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kukumbushana ni jambo jema sana, ubarikiwe mzee wa Lumumba,
Lakini umeniharibia sana jioni yangu kwakuwaingiza Sixgates na Tuntemeke kwenye suala hili,
Hao sio wanawachadema bali ni wahaini wa chadema.
Sio kurugenzi ya habari tu. Chadema nzima inahitaji re-start...
Jamani kurugenzi kweli mmekuwa taratibu sana kutoa habari kwanini