Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.

cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:

Kwa kweli Tumaini Makene haupo kwa wakati japo mitandao huko inaweza kuwa tabu ila nafikiri hata wengine wanatuma habari hizo wakiwa huko huko kwanini wewe usubiri kuja kusafisha uongo ambayo ni kazi sana??
 
Kazi zimewashinda hawa... Yaani habari za Chadema tunaletewa na CCM zikiwa zimeishatiwa chumvi nyingi tu.. Tumaini Makene mmeshindwa kazi..
 
Last edited by a moderator:
Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.

cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kukumbushana ni jambo jema sana, ubarikiwe mzee wa Lumumba,

Lakini umeniharibia sana jioni yangu kwakuwaingiza Sixgates na Tuntemeke kwenye suala hili,

Hao sio wanawachadema bali ni wahaini wa chadema.
 
Last edited by a moderator:
Ila tukubali ukweli Kurugenzi ya habari inataka watu sharp kweli.

Wanajitahidi lakini kazi zao huku mitandaoni bado si nzuri sana.Uongo unakanushwa too late ukiwa umesambaa sana na mbaya zaidi makanusho haya sambai kwa kasi ile ile ya uongo!!
Tukubali mitandao imefanya kazi kubwa sana kuijenga CDM hivyo hawa watu wawezeshwe zaidi.
 
Sio kurugenzi ya habari tu. Chadema nzima inahitaji re-start...
 
Kurugenzi ya Habari CHADEMA mbona mmekuwa kimya sana? Taarifa zenu za mwisho ni mkutano wa tarehe 7/12/2013.Vipi? Tuyaamini yanayoletwa humu mtandaoni kama yalivyo? Ni kuhusu ziara inayoendelea ya Katibu wenu Mkuu,Dr. W. P. Slaa. Njooni mtuhabarishe kinachoendelea huko Kigoma. Mkituacha hivi,tutaamini habari hizi hizi zilizopo humu.

cc Tumaini Makene
Molemo
Ben Saanane
Yericko Nyerere
sixgates
TUNTEMEKE

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mkuu tatizo la kurugenzi ya habari wamepeana Tumaini Makene hana uwezo hata wa kumkaribia mohamed mtoi tatizo ni kupeana. Deo mwenyewe yupo vizuri. Chadema ni sikio la kufa.
 
Last edited by a moderator:
Kukumbushana ni jambo jema sana, ubarikiwe mzee wa Lumumba,

Lakini umeniharibia sana jioni yangu kwakuwaingiza Sixgates na Tuntemeke kwenye suala hili,

Hao sio wanawachadema bali ni wahaini wa chadema.

Mkuu nakwambia wewe umeponea chupu chupu, tungekupeleka kisutu. Unajidai umeokoka. Unakera sana wewe mtunzi wa hekaya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom