Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Wewe bure kabisa mnajifanya ooh njoo ufagie kwenye kampuni yangu kumbe minyoo mitupu!!!!
Waache watu wabhape kazi..mbona unawasumbua
Wewe bure kabisa mnajifanya ooh njoo ufagie kwenye kampuni yangu kumbe minyoo mitupu!!!!
Wewe bure kabisa mnajifanya ooh njoo ufagie kwenye kampuni yangu kumbe minyoo mitupu!!!!
Hunijui sikujui,ila ni hakika wewe mpumba.vu kuliko nilivyokuwa pengine nakuchukulia. Nakuomba tu endelea na kutumika na CCM ndiyo kazi inakufaa kwasasa.Sijapata kushuhudia mnyakyusa mpumba.vu kama wewe! "Ngwagha ulikisigwana ughwe" ndiyo maana unashindwa kujitambua,imekuathili sana katka ubongo wako. Mda wote unawaza mashindano na watu,ila kwa taarifa yako hapa namba nyingine kabisa. Kaa pembeni kabisa.
Huyu bwana anaitaji msaada wa kifikra kama huna cha kumshauri wewe pita kuliko kukomenti utumbo hapa hili ni jukwaa la wasomi
Kuna akili kama za Lusungo mkuu,akili zake hakuna tofauti na mavi. Hajawahi kujitambua.
ukiandika barua ukaresign na mwajiri akaipokea na wewe kubaki na nakala yako unakua salama!! unaweza kuajiriwa tena
kama ulijaza form za utumishi utakua mtumishi tu hata kama hukuchukua mshahara wala pesa ya kujikimu!!
Sasa hiyo ya kubadilisha jina haiwez kukusaidia...coz chek number hutengenezwa Baada ya kuona vyeti vyako vyote original...na ikishatengenezwa ndio hiyo hadi siku ya mwisho ....hata ukiacha kazi ukirudi tena much you will submit same academic certificates itareject kuwa already in system n thus utapaswa kutumia same check number otherwise the Chief Secretary by his hand allow otherwise
]Mh, Kanombe ya kweli hayo?
Ni kweli kabisa....kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa teacher akaacha akaenda kupiga degree mliman...akaomba kazi upya....ilimchukua muda miaka miwili kulipwa....lakini chek number ni ile ile ya zama i
Mambo ,nina tatizo like huyo jamaa la kutolewa kwa payroll,so nataka niombe ajirampya,but mwanzo majina ynhu ni amina shabani mwinyimkuu,lakini kuna jina lingine la baba amabalo lipo kwenye cheti cha kuzaliwa,meanz nitumie amina aAbdullah shabani nitafanikiwa,au inshu itakuja kwenye cheti cha form ,four ni mwajiriwa wa 2009naomba msaada wakohazipayroll kwauwa tunatumia majina matatu! mfano
KIFUBA J KYAITAHWA so ukipata ajira mpya unabadili inakua
KIFUBA Z KYAITAHWA hao tayari wanakua watu wawili tofauti
inatakiwa ujue kwa nini jf tunatumia ID fake! kujiweka hadharani majina yako yote kuna hatarisha maisha yako(siongelei kifo hapa) nadhani utakua ume nielewa.....Mambo ,nina tatizo like huyo jamaa la kutolewa kwa payroll,so nataka niombe ajirampya,but mwanzo majina ynhu ni amina shabani mwinyimkuu,lakini kuna jina lingine la baba amabalo lipo kwenye cheti cha kuzaliwa,meanz nitumie amina aAbdullah shabani nitafanikiwa,au inshu itakuja kwenye cheti cha form ,four ni mwajiriwa wa 2009naomba msaada wako