Kurudishwa payroll ya Serikali

Kurudishwa payroll ya Serikali

Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.

Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.

Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.

Hapo hamna short cut lazma urudi kwa mwajili wa kwanza akuhamishe/kukutoa kwenye system ndio mengine yanaweza kufatia
 
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.

Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.

Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.

tiyari nshakuja huku biharamulo na tsd wameagiza nirudi payrole then nasubiri afsa utumishi afanye kazi yake then nipewe datasheet kwenda shirika la elimu kibaha.
 
Mkuu,yule jamaa amefanikiwa kusolve ishu yake,,ina mzunguko mrefu ila kafanikiwa.

Hongera sana mkuu ila mwambie ashike adabu sasa atulie kama ameamua kurudi!!! Akitoka tena si rahisi arudishwe tena maana ataonekana ni kigeugeu.
 
Niulize kwa mfano mimi ni mwalmu nimeajiriwa govt nikaamua kusoma uhasibu na nataka nihame ualimu mbinugani nitumie
 
Wadau na mimi niulize je kwa mtu ambaye ameajiriwa na shirika la serikali na akafanya kazi kwa muda wa miezi 3 na kabla hajaajiliwa alikuwa ameshatuma maombi ktk shirika lingine la serikali hivyo wakati anaendelea na kazi ktk shirika ilo akaitwa kwenye interview ya shirika lingine la serikali na akafaulu...je kwa mtu huyu anauwezekano wa kuama kutoka shirika moja la serikali kwenda lingine bila usumbufu kwenye inshu ya check number na mambo mengine ya ajira..
 
haiwezekani mkuu.ukishaingia payrole basi lbda ubadili jina
 
Rudi tu kufundisha,hautaajirika tena govt..kama ulikopa ujisomeshe mshahara unasoma vibaya vumilia tu...Ndio matunda yakutofata taratibu.

Kisu kwenye mfupa. Huu ndio ukweli.
 
mimi niliandika barua ya kuacha kazi kabisa nikajibiwa nikitaka kurudi itakuwaje wapendwa
 
wanaipata wapi hiyo check number na vipi ukibadilisha jina moja.

Sasa hiyo ya kubadilisha jina haiwez kukusaidia...coz chek number hutengenezwa Baada ya kuona vyeti vyako vyote original...na ikishatengenezwa ndio hiyo hadi siku ya mwisho ....hata ukiacha kazi ukirudi tena much you will submit same academic certificates itareject kuwa already in system n thus utapaswa kutumia same check number otherwise the Chief Secretary by his hand allow otherwise
 
1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA. b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na afisa utumishi mie mtoro kazini. 2. Sina taarifa yoyote ya kuachishwa kazi na mwajiri na zaidi ya hapo documents kwenye files zimenyofolewa na kutupwa.
Mdau naona hapa umebase kwa aliyeondoka Serikalini na kurudi kwenye sekta ileile. Vipi aliyebadili sekta? Mfano uliondoka bila taarifa kama mwalimu unarudi Serikalini kama polisi.
 
Waraka wa 2010 unasema,mfanyakazi akishaajiliwa hawezi ajiliwa tena popote serikalini labda jeshini uko au baadhi ya agency...Utaamishiwa data zako kutika tahasisi moja kwenda nyingine na hazina km ulipata barua ya afisa utumishi wakati unaondoka...bila ya ivyo mkafanye private tu to the rest of ya life

Namimi naomba kuuliza,binafsi sikupata barua yoyote ya ruhusu kwenda kusoma wala utoro ila nipigwa chini kwenye mshahara nilipofuatilia nikaambiwa ni mtoro kazini,vipi unavyoona hilo naweza kabiriana nalo vipi ili nirejee kituoni kwangu? Tafadhali msaada wako!
 
teh teh teh teh

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mmiliki wa kampuni uliyesema ualimu ni laana Leo unauliza utarudije kituoni????????

Hivi kama hata wewe hujitambui utawezaje kufanya wengine wajitambue???

you are too low!!!
 
Jaman pia mimi niliajiliwa baadae nikaomba ruhusa naenda kusoma mambo ya elimu lakini baadae nikabadili si kwenda huko kwenye kitu nilichoombea ruhusa nikaenda kusoma sheria sasa nimeomba kazi sehemu nyingine tofauti. Ila naambiwa suala la mshahara litakuwa kero najiuliza nimepoteza mda wangu naombeni ushauri juu ya hili na kurudi kufundisha siwezi maana mshahara ndo umenisomesha. Niko njia panda sijui nifanyeje msaada wenu wadau!!!!!!

Pole sana!!
 
Wakuu nina mdogo wangu alikua ameajiriwa kufundisha lkn kama familia tukampeleka kusoma masters ya kitu kingine CANADA na tulicheza hadi akapata ruhusa kutoka kwa mkurugenzi na afisa utumishi akamwandikia barua vipi yeye yupo salama au magumashi akirudi?

Yani apige masters CnD afu arudi tz kufunza? Si asome phd kbs
 
teh teh teh teh

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mmiliki wa kampuni uliyesema ualimu ni laana Leo unauliza utarudije kituoni????????

Hivi kama hata wewe hujitambui utawezaje kufanya wengine wajitambue???

you are too low!!!

Wee kiumbe vp kule Lumumba wamekuchoka,mbona unajikanyagakanyaga? Mambo mengine ni INTERNAL COTROL,Jiheshimu japo kidogo utaficha upumba.vu!
 
Wee kiumbe vp kule Lumumba wamekuchoka,mbona unajikanyagakanyaga? Mambo mengine ni INTERNAL COTROL,Jiheshimu japo kidogo utaficha upumba.vu!

Nijiheshimu kwa kukuumbua?

Wewe ulisema huwezi kuwa mwalimu vipi Leo?

Mnashinda jf kutukana serikali inayowaweka mjini

Hopeless kabisa!!!!
 
Nijiheshimu kwa kukuumbua?

Wewe ulisema huwezi kuwa mwalimu vipi Leo?

Mnashinda jf kutukana serikali inayowaweka mjini

Hopeless kabisa!!!!

Nashukuru kwa kuniona hopeless! Hongera kwa kuwa hope!
 
Back
Top Bottom