dah.kurudi payroll shughuli mkuu.ila ukitaka kuweza km vyeti vyako vina majina mawili.tafuta cheti cha kuzaliwa kingne na ubadili initial ya katikati then uombe tena kazi mkuu.
Siku hizi kuna kitu kinaitwa LAWSON ukitumia majina yaleyale ya kwanza hukatizi.
Hebu niweke sawa.kama vyeti vya elimu vina majina matatu hapo huna jinsi.Pia hii system wanafatilia data nyingine iwapo wakiingiza jina litaonekana kushaabiina na jina jingine kwenye system.
Kuna mahali system huwa inauliza IS THIS NAME X SAME TO NAME Y?.Sasa system ikishauliza hvo inabdi maafsa utumishi wafatilie data nyingne na wakikuta nazo zinafanana basi wewe unawekwa kwenye blacklist ya wanaofoji data.
Lakini kama system haijaulizia ufanano wa majina basi data nyingne sio rahisi kuleta shida.Kumbuka hakuna uwezekano wa majina yote matatu kufanana ndo maana wanalazimisha uandike matatu.
Hayo niliambiwa na afsa utumishi wa shirika fulani la umma ambako mm mwenyewe nilipata kazi lkn nikakumbwa na tatzo hilohilo ikabdi nirudi halmashauri yangu na mwezi jana ndo nimerudi payroll.Ndo maana nina uzoefu kidogo.
Pole na kaxi nina tatizo kama la jamaa huyo,but me first appointment nilitumia amina shabani,lkn statement result ya chuo inaonyeshenya amina shabani mwinyimkuu,na cheti za kuzaliwa jina la baba linasomeka mwinyimkuu shabani Abdullah sasa nataka niombe ajira kwa kutumia amina Abdullah shabani je naweza penya?ila vyeti vya taaluma ni majina mawili amina shabani msaada kakaMkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.
Ndio mana wafanyakazi hewa hawaishi mtu hajareport badoo unaamuingizajeMkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
wew utaleta shida maana unaonyesha una majina mengi mengi na pengine majina vyeti sio vyakoPole na kaxi nina tatizo kama la jamaa huyo,but me first appointment nilitumia amina shabani,lkn statement result ya chuo inaonyeshenya amina shabani mwinyimkuu,na cheti za kuzaliwa jina la baba linasomeka mwinyimkuu shabani Abdullah sasa nataka niombe ajira kwa kutumia amina Abdullah shabani je naweza penya?ila vyeti vya taaluma ni majina mawili amina shabani msaada kaka
Huwa kuna muda wa kureport ukipita umejitoa...ila jaribu kuifufua uoneMim Mwenzenu Nilipangwa Kagera Ngazi Ya Udaktar,ila Ckwenda Kurepot Kabisa Kutokana Na Sababu Za Kifamilia.Ila Mda Huu Najifkiria Kwenda Kurepot,cjui Utaratibu Utakuwaje?Maana Cjui Pa Kuanzia,je Ntapokelewa Au Watanikataa
Du,hataree sana,vyote ni vyeti vyangu but kuna member anaitwa posho city alisay unaweza kuweka initial tofauti ktka majina ya awali ndo maana nikapmba msaada soma majina vizuri yote yanashaabiana baba majina matatuwew utaleta shida maana unaonyesha una majina mengi mengi na pengine majina vyeti sio vyako
Sijaelewa about lawson,yani hata uligukuzwa kazi na mwaka huu wamefanya uhakiki wewe haukuwepo nayo inasoma auLawson ni funga kazi usijidanganye
Sikia Lawson haichukui tu majina yako inachukuliwa mpaka namba zako za mitihani. Sasa labda ubadilishwe na vyeti. Njia iliyobaki ni kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi.Sijaelewa about lawson,yani hata uligukuzwa kazi na mwaka huu wamefanya uhakiki wewe haukuwepo nayo inasoma au
Kama hujapata ufumbuzi bado unaweza kunchek namba 0672172801Pole na kaxi nina tatizo kama la jamaa huyo,but me first appointment nilitumia amina shabani,lkn statement result ya chuo inaonyeshenya amina shabani mwinyimkuu,na cheti za kuzaliwa jina la baba linasomeka mwinyimkuu shabani Abdullah sasa nataka niombe ajira kwa kutumia amina Abdullah shabani je naweza penya?ila vyeti vya taaluma ni majina mawili amina shabani msaada kaka
Kama hujapata ufumbuzi bado unaweza kunchek namba 0672172801Pole na kaxi nina tatizo kama la jamaa huyo,but me first appointment nilitumia amina shabani,lkn statement result ya chuo inaonyeshenya amina shabani mwinyimkuu,na cheti za kuzaliwa jina la baba linasomeka mwinyimkuu shabani Abdullah sasa nataka niombe ajira kwa kutumia amina Abdullah shabani je naweza penya?ila vyeti vya taaluma ni majina mawili amina shabani msaada kaka
Nafasi utapata..ila noma itakua kwenye kuingizwa kwenye payrol..au malipo..Hivi si wanasema ukiajiriwa serikalini usipoenda hupati tena nafasi.sa inakuaje we upate ajira
Kama hakuripoti siyo ishu sana..noma kubwa humpata mtu aliyeripoti na kuchukua ela zao kama posho na mshahara...coz kwa utaratibu wakikuondoa kwenye payrol ni lazima uandike barua kwa katibu mkuu wa UTUMISHI..umconvice kwanini ulitoka na kwanini unataka kurudi na huchukua hadi miaka miwili kukurudisha..wengi huwa wanaumia..na shida inakua kwamba kuna wengine kweli hawakuchukua ela but ela zao zilikua zinaliwa na wajanja..so anaweza enda huko halmashauri akambiwa arudishe mishahara ya miaka mitatu aliyokuwa anakulahata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
vipi kwa wale walokuwa wanatumia majina yote matatu kwenye vyeti vyoteMkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.
vyeti alivipeleka wakati wa kuaply kazi..then kumbuka kuna watu walikua wanakula mishahara ya watu ambao hawakurepoti kazini.so unaweza kuta mshahara wake ulikua unaliwa na wajanjakwa nini hafai wakati hakuripoti wala kupeleka vyeti vyake huko?
exactly...wale wote ambao mishahara yao inatoka HAZINA baba yao ni mmoja so anayetoa hzo cheki namba ni hazina..but kuna baadhi ya mashirika ambayo hayatumii system ya payrol kama TANESCO na TANROAD n.khivi mashirika ya umma kama tra,tpdc,tanapa n.k nao payroll zao zipi hazina kama tamisemi?
Ulipangiwa lini?Mim Mwenzenu Nilipangwa Kagera Ngazi Ya Udaktar,ila Ckwenda Kurepot Kabisa Kutokana Na Sababu Za Kifamilia.Ila Mda Huu Najifkiria Kwenda Kurepot,cjui Utaratibu Utakuwaje?Maana Cjui Pa Kuanzia,je Ntapokelewa Au Watanikataa,
Msaada Kwa Mwenye Kujua Juu Ya Hili
muda ni miaka miwilihiko kibali kinatoka kwa ndugu wa mawazili mfano ninao kabisa ila mimi ninakifuatilia miaka sasa sikipati