Kurudi nyumbani mapema

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,576
Reaction score
12,371
Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
 
Humpendi mke wako?
 
Ni bora kuchelewa hata akichukia potelea mbali, kuliko kuwahi kila siku, tabia ya kuwahi ataigeuza kuwa sheria na wewe unageuka kuwa mfungwa nyumbani kwako. Mbususu zenyewe za ratiba ni bora uchelewe uepushe migogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…