Kurudi kwa Lowassa?

Kweli pesa ni kila kitu.Leo Lowasa anafikiriwa!! Yaani hii nchi yenye watu zaidi ya milioni 45 woooooote hakuna mwenye uwezo wa kufikiriwa kupata hiyo nafasi?

Signature yangu hapo chini inazidi kunipa sababu ya kuendelea kuitumia.
 
Nawapongeza wanajf waliofunguka juu ya raisi ajaye, mh. Lowassa, inaonyesha watu wanaenda wakikomb kisiasa na kuacha ushabiki wa vyama. Vyama viwe huko majimboni kwenu kwa wabunge na madiwani.
 
Hii substitution ya Pinda na Lowassa ni sawa na Bubu kumnong'oneza Kiziwi...
 
Hata mm naiona dalili ya CCM kufanya janja ya kupiga kelele ili baraza la mawaziri livunjwe kisha waweke watu wao wanaodhani ni karata nzuri kwa uchaguzi mkuu ujao. Tusubiri tuone.
 
Godfrey Zambi anajaribu kuwasihi mawaziri hao wajiuzuru ili kujenga heshima ya CCM.
 

kaka leo umetiririka vizuri kweli.chukua "LIKE"
 
Lowassa kweli ni mchapa kazi lkn mshikaji ni fisadi mkubwa mno. Alikuwa akisepesha mil. 152 Tshs kila siku!!!!. Huyu anafaa kweli kuwa Waziri mkuu? Bora hata Magufuli akamate kiti hicho.
 
Kinachoendelea bungeni ni maigizo tu ya
CCM kwa krosi za kupasiwa wapinzani kwani ni
planned strategy ya kuingiza watu fulani
kwenye baraza la mawaziri akiwemo Migiro.
Kikwete hakwenda Marekani kwa dharura na
pia tujiulize kwa nini kila sekeseke za bungeni
zikitokea Kikwete anakuwa nje? Is it a merely
coincidence??! Watanzania tuamke na kukataa
upumbavu wa kisanii na kizandiki!
 

Kumbe na wewe MM ni team EL
 

Stop these sweeping statements.Unaongea kama illiterate asiyekua na exposure.Utakua lini?
 

I concur with you.

Atakua mwanasiasa wa ovyo zaidi kukubali kurudi

Hata hivyo alivyo mroho anaweza akashindwa ku-reason.
 

kweli kabisa.
 
Jamani watanzania mi sielewi kabisa wasomi tunashindwa kutambua tatizo na kutafta mbinu za kutusaidia wenyewe tunakalia kuwalalamikia watu..wale sio malaika ni watu tu kama cc.. Hvo yatubidi badala ya kuwaponda tunawapa njia mbadala ya kufanya... Tuwe mature basi ebo!
 

Na CCM ndo walikutuma uchangishe rambirambi halafu ukazimalize bar?
 
Sidhani kama Lowassa ana nafasi ya kurudi tena.

Hasa ukizingatia anapanga karata zake kwa ajili ya 2015.

Ila naona kama nafasi kubwa anayo Sitta au Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…