Kuridhika ktk mapenzi

Kuridhika ktk mapenzi

will comment siku nyingine leo niko kwenye mood au soma thread zilizopita
 
Dzain inabidi umjue uyo binti km zile za kuoa saa 5 na talaka saa 1 asbh mmmmh mpk uwe nguli,ukimzoe lzm kuna sign atakua anaionyesha wanatofautiana lkn pia kumbuka sisi pia unaweza kukojoa na ucridhike.
 
Umeona eeh!!!! LoL!!!! Hahahahaha.....mzima lakini weye!?

Mzima sana nashkuru sana mungu kwa pumzi hizi za bure no malipo..m

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unastahili pumzi hizo na malipo yake ni kushukuru kila upatapo nafasi.

Mzima sana nashkuru sana mungu kwa pumzi hizi za bure no malipo..m

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nawapa pole sana wale wanawake ambao hawafiki kilele kweli wanakosa kitu kitaaam. Kwa me wanajua wenyewe inavyokuwa.

Lets pray for them....
Tuwatakie wanawake wenzetu mazuri kama tuliyonayo...
 
Do! wa-Bongo bwana akili zipo kwenye ngono tuuuuuu,tunashinwa kukupa taaluma kwa kua hatujui ww ni jinsia gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom