Kwanini uwalaumu wasiohusika ?!. waTz kwa unafiki mko dunia ya kwanzaTanzania tutafikia level hizi miaka mia moja ijayo, kama upinzani wenyewe ndio huu wanafanya haramu kuwa halali, basi ccm itatutawala milele
Sijui umeyasahau ya ivory coast au hukuyasikia mpaka mabeberu wakawaingilia ili kuweka mambo km yanavyotakiwa.Africa magharibi Ni ulaya ndogo .. hao watu wa ukanda huo wanajielewa achana nao kabisa
It came to this level with a price.Africa magharibi Ni ulaya ndogo .. hao watu wa ukanda huo wanajielewa achana nao kabisa
Matatizo yapo lakini sio kama haya yaliyopo kusini ya Africa kaskazini na mashariki na central Africa... Kanda hizi nyingine zimezidi sanaSijui umeyasahau ya ivory coast au hukuyasikia mpaka mabeberu wakawaingilia ili kuweka mambo km yanavyotakiwa.
😁Kuna jamaa mmoja BBC World Service amesema uchaguzi wa Ghana unafuatilia utaratibu mpaka unaboa.
Yani yeye kama alishazoea chaguzi za Afrika makashkash mara watu wamepigwa Pemba, mara kiongozi kasutwa, mara kura zimeibiwa, mara wakaguzi wa nje wamepigwa mkwala.
IndeedIt came to this level with a price.
Baada ya uhuru Ghana waligundua Kwame Nkrumah ni dikteta na waliweza kumuondoa madarakani.Matatizo yapo lakini sio kama haya yaliyopo kusini ya Africa kaskazini na mashariki na central Africa... Kanda hizi nyingine zimezidi sana
Hivi kumbe kwame na yeye alikuwa na utawala wa chuma ??!Baada ya uhuru Ghana waligundua Kwame Nkrumah ni dikteta na waliweza kumuondoa madarakani.
Alitaka apate habari ovu ya kuandikaKuna jamaa mmoja BBC World Service amesema uchaguzi wa Ghana unafuatilia utaratibu mpaka unaboa.
Yani yeye kama alishazoea chaguzi za Afrika makashkash mara watu wamepigwa Pemba, mara kiongozi kasutwa, mara kura zimeibiwa, mara wakaguzi wa nje wamepigwa mkwala.
Wale walipoingia madarakani baada ya kwatoa wazungu walijiona ni untouchableHivi kumbe kwame na yeye alikuwa na utawala wa chuma ??!
Hizo Kanda ulizozitaja tunatofautiana mno kiutamadun kijiografia kiuchumi hata uzoefu wa kuandaa chaguzMatatizo yapo lakini sio kama haya yaliyopo kusini ya Africa kaskazini na mashariki na central Africa... Kanda hizi nyingine zimezidi sana
In 1964, a constitutional amendment made Ghana a one-party state, with Nkrumah as president for lifeof both the nation and its party.[8] Nkrumah was deposed in 1966 by the National Liberation Councilwhich under the supervision of international financial institutions privatized many of the country's state corporations.[9] Nkrumah lived the rest of his life in Guinea, of which he was named honorary co-president.[10][7][11]Hivi kumbe kwame na yeye alikuwa na utawala wa chuma ??!
Aisee Africa kweli Ni mtihani .. angalau wenzetu wameshatoka kwenye huo ukiritimba now wanaishi kwa kutambulika kuwa Ni jamii iliyosheheni ustaarabuIn 1964, a constitutional amendment made Ghana a one-party state, with Nkrumah as president for lifeof both the nation and its party.[8] Nkrumah was deposed in 1966 by the National Liberation Councilwhich under the supervision of international financial institutions privatized many of the country's state corporations.[9] Nkrumah lived the rest of his life in Guinea, of which he was named honorary co-president.[10][7][11]