Babu tulia, na wewe [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]Sisi wenye umri wetu tunaruhusiwa kuchagua?
Maana majibizano yenu yamenifanya nizisikilize hizi nyimbo mbili.
Tofauti ni kubwa sana kwa sisi wahenga. Sijui kwanini mnataka kujua ipi nzuri wakati hakuna vya kupambanisha...
Au ni swala la ushabiki?
Kwa uhalisia nimeikubali zilipendwa... big up diamond? Au Kiba?
Kwa muziki kwa maana ya melody ilivokaa njema... seduce me ni kiwango cha kimataifa... big up diamond? Kiba?
Sipendi mambo yenu ya ushabiki. Ingekuwa msondo/sikinde..... weeee Sikinde hata iimbe maharage itabakia kuwa super kama Simba Sports Club.. ofkoz na Liverpool...
Muongo ule Wa Kiba...sio Kiba naemfahamu Mimi wimbo mbayaVipi tena ile ya kusema vita haichagui silaha imeishia wapi?!
By the way nyimbo zote mbili ni kali sana
Labda bakora ya matusi ila kimuzik Mmmh...siamini kama kweli kaishiwa...mi siko team ...wimbo kama makimuga nk...bado anadhihirisha kufilisika aache kushindanaTulieni dawa iwaingie....alikiba kachapa bakora na imewaingia sawasawa
Mnatekenyana halafu mnacheka saaafiiihii ni sanaa brother.....wape kitu watu wanapenda tupo tuliopenda nyimbo tunaburudika [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Halafu kisirisiri huku umekunja ndita unasikiliza zilipendwa
Bakora zimeingia....chapa hapohapo ali waendelee kuwewesekaLabda bakora ya matusi ila kimuzik Mmmh...siamini kama kweli kaishiwa...mi siko team ...wimbo kama makimuga nk...bado anadhihirisha kufilisika aache kushindana
carnte himself
Hah hah hii ni sawa na barcelona walalamike kuwa kikosi chao majina makubwa ni messi na suarez tu ndo maana wamefungwa na madrid wenye ronaldo,modric,bale,casemiro,isco,benzima nk...Vipi tena ile ya kusema vita haichagui silaha imeishia wapi?!
By the way nyimbo zote mbili ni kali sana