Hapa ccm watakwambia wote walisema ndiooo.

Mkuu hilo tena haliwezekani baada ya kukamatwa kwa memo kutoka kwa Sitta kwenda kwa Pinda inayoonyesha kuwa kura za siri "HAPANA" zilikuwa mzigo na maarifa yanafanywa. Hii ni aibu kwa Spika, Waziri mkuu na hao wengine waliotajwa kuhusika na mipango hiyo. Sasa PM kweli anastahili kuamika tena?
View attachment 189640