KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
wewe njiwa si daktari,na kwenye moja ya post yako ulikuwa unasema wewe bongo hurudi tena,na ulilalamika kushusu mishahara ya wabunge ni mikubwa na ya madaktari ni ndogo.sasa leo mbona unaongea as if umesharidhika na maisha na hutaki mabadiliko tena?duh,sisi watanzaia kwa ajili ya ufisadi tunaweza kuuza wake zetu pia,bora matumbo yajaye,we rare selfish creatures,yes we africans are selfish,we just think about ourselves,but we njiwa huoni watu wanavyokufa na njaa,i did not expect this from an educated person like you.you wasted the chance of another person who had taken your place to go to school and may have helped in changes,but you are educated and you want rest of tanzanians to be illitrate so tht you can rule them forever.
Samahani baba,mie sio mmiliki wa magazeti.ushindweeeKwani gazeti lako la uhuru au mzalendo limezuiwa na nani kuweka poll?
Hizi kura za maoni zimewachanganya sana CCM. Nimeona Daily News leo wamebweka kweli mpaka wanatoa maneno ya kejeli kuonyesha jinsi gani wako nyuma ya CCM. Hawakutegemea matokeo wanayoyaona maana walitegemea yawe mazuri wajipendekeze ikala kwao. Ngoma inogile.
Ni sawa na kuuliza makofi polisi.Hata hizi poll zikifanywa na gazeti uhuru au mzalendo Kikwete ataongoza kwa 90%
kumbe haya magazeti bado yapo?
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:
Kwani hii poll ya Mwanahalisi hiko online au kwenye paper? Kama online Slaa ataongoza tu labda iwe imeandikiwa code ya kuchakachua matokeo. Mbona TSN waliweka poll kama hii na Dr. Slaa kuongoza na baadaye kuiondoa kabisa hata kwenye archive yao!!!!!!!
kweli kabisa.. kwani kura za karatu ndio zitamfanya aongoze! kwasababu watu wa karatu ni zaidi ya 51% ya watanzania wote! nimekupongeza ndugu! vipi hiyo siku na wewe utakuwepo kupiga kura!! au kura yako ndio ushaipiga on-line kutokea south china:becky:
Si kweli mzee wanayasoma sana.Mwanahalisi na Raia Mwema huwa nayaita magazeti ya kimapinduzi na huwa nalipa kwa bill!
Huwezi kuta kada wa CCM kayanunua hayo