ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,291
- 4,967
#HABARI Gari yenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mbeya mjini mkoa wa Mbeya imechomwa moto majira ya saa 10:00 usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Mbeya mjini amesema majira ya saa kumi usiku, mke wake aliamka kwa ajili ya kufanya maombi ndipo alipoona moto na kuamsha familia nzima na walipotoka njee walikuta ndoo ikiwa na mafuta ya petrol huku gari likiendelea kuteketea kwa moto.
#EastAfricaTV