Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

CCM ufisadi mtupu na kwa kila kitu nchini, bureeeeeee kabisa!!!!!!

Haka ka CCM ya Kikwete ya nenda mbele hatua tatu rudi nyuma hatua sita ni uchuro mtupu wala hakuna kitu kwao pale Aremeru Mashariki.

Wao walie tu kwani Tendwa alishawafungisha mapeema BAO LA DHAHABU tangu wiki majuzi.
 
Watu wanasikiliza clouds sana humu ndani....siamini!

Na mie nashangaa hivi kuna great thinker anayeweka ****** chini na kusikiliza hii redio station? Ni majungu,umbea,upashukuna nk...
 
KATIBA YA CCM
20. (1) Mwanachama anayeomba nafasi ya
uongozi wa aina yoyote katika CCM
hatakubaliwa kuwa amechaguliwa mpaka awe
amepata zaidi ya nusu ya kura halali zilizopigwa.
 
Kwa nini tunawafuatilia sana kwa kila wafanyacho kama tunadhani wao ni dhaifu??
 
CCM ufisadi mtupu na kwa kila kitu nchini, bureeeeeee kabisa!!!!!!

Haka ka CCM ya Kikwete ya nenda mbele hatua tatu rudi nyuma hatua sita ni uchuro mtupu wala hakuna kitu kwao pale Aremeru Mashariki.

Wao walie tu kwani Tendwa alishawafungisha mapeema BAO LA DHAHABU tangu wiki majuzi.
Tendwa alishalikoroga maana asipopitishwa Sioi washili watakuwa na kila sababu ya kulalamika, haiwezekani wakasingiziwa kuua halafu mtoto wao asiteuliwe tena kwa mizengwe.
 
Siku chache baada ya Wiliam Sarakikya kutaka kuhamia Chadema huku aliekuwa mshindi wa tano (Msani) akihamia chadema chama cha Mapinduzi wamekubaliana na matakwa ya Wiliam Sarakikya kuwa uchauguzi huo urudiwe, kamati kuu ya ccm (CC) kupitia msemaji wake Nape Nauye amesema uchaguzi huo utarudiwa tarehe 1-3-2012, huku akiwataja watakao chuana kuwa ni Wiliam Sarakikya na Sioi Sumari alie tumia zaidi ya mil 100 kwenye uchaguzi uliopita.
 
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.

Demokrasia CCM ni safu sana.

Source: Nape kupitia Clouds FM

U******u mtupu,labda watawadanganya watu wenye akili kama zenu,hiyo ya kutofikisha 50% imeonekana baada ya chama kuzozana juu ya mchakato mzima wa kumpata mgombea ulivyokwenda?kwa nini haikua siku ile ile itangazwe hivyo?c.c.m kweli wana akili za bata,na ndio maana wanapata wafuasi wenye upeo kama wao
 
Hi kali ya mwaka,haya ngoja tuone kinachopikwa hapo,kitalika au kitakuwa kichungu kwa CCM,CDM nao ni tarehe hiyo hiyo Wange ahirisha ili CCM wamalize kulimbana na wao wafanye.IKO MANENO HAPA,yangu masikio na macho.
 
duh, hapa wasipoangalia vizuri watakuwa wameharibu wenyewe. Coz katiba ya CCM ilikuwa clear kuhusu kupata zaidi ya asilimia 50 ..ilikuwaje hawakuliona hili.. Kwa vyovyote hii ni ishara mbaya kwa CCM.
 

Na mie nashangaa hivi kuna great thinker anayeweka ****** chini na kusikiliza hii redio station? Ni majungu,umbea,upashukuna nk...

Mkuu si wote walio Jf ni Great Thinkerz,angalia mleta mada alivyoleta na kufanya conclusion na jinsi source ya hiyo habari alipoitoa,unaona kabisa mleta habari na chombo alichopatia habari akili zao zinafanana!great thinker hawezi kaa chini na kusikiliz clouds fm
 
Back
Top Bottom