Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

Kama swala ni 50% basi uchaguzi ungerudiwa siku ile ile na kusingekuwa na kikao cha kamati kuu kwa sababu mwakilishi angepatikana katika ballot box!
 
Mkuu si wote walio Jf ni Great Thinkerz,angalia mleta mada alivyoleta na kufanya conclusion na jinsi source ya hiyo habari alipoitoa,unaona kabisa mleta habari na chombo alichopatia habari akili zao zinafanana!great thinker hawezi kaa chini na kusikiliz clouds fm
Kwako wewe kuwa great thinker ni kutokusikiliza Clouds fm? Acha.... wewe!!
 
Back
Top Bottom