Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Binafsi mimi kwetu ni Kigoma, lakini kwa maslahi ya
Taifa nilazima ZZKanyimwe kura kwasababu ni mbinafsi mno, hana
credibility ya Uongozi,ana hasira na visasi na Umri wake hautoshi kuwa Rais
na kwa tabia yake ya kutengeneza makundi(rejea : kuhama kwa Kafulila na matusi
ya H.Mchange kumtukana Slaa kwa kumwita kazee) atakuwa kama JK.
 
Jamani, Nyerere aliwahi kusema; Kiongozi wa kweli huwa hakimbilii ikulu. Anakimbilia nini huko??? Ikulu ni mzigo mzito.

1. Zitto anakimbilia pamoja na kufahamu kuwa katika haimpi nafasi. Ana maslahi gani nako???
2. Slaa hajawahi kuitaka nafasi hiyo by his own. Amefuatwa na walioona kipaji chake cha uongozi pamoja na ubunifu wa mipango ya namna anavyoweza kuiinua Tanzania kutoka katika lindi la umasikini wa watu ndani ya utajiri uliopindukia

Tazama kwa jicho halisia utamwona Slaa kuwa juu mno ya wengine. Ndo mwasisi wa jicho kali linalolilia maslahi ya mtanzania.
 
Tachagua Dr. Slaa.
1, umri wake unakubalika na katiba iliyopo.
2, siyo mtu 'anayejiona' na 'anayekimbilia ikulu' kama Kabwe.
3, wapiga kura [pamoja na mimi] hawana 'mashaka' naye.
4, msomi mzuri na ametulia zaidi ya Zitto.
 
Wake up for God sake yaani kumpambanisha Zito na Slaa ni kama unampambanisha Slaa na kivuli kama enzi zile za Chama kimoko asee yaani Zitto bado sana na hata akifikia tutamwombea ticket Ccm pale ndo panamfaa
1. uwezo wake wakufikiri bado unamtosha yy na familia yake pekee
2. Yuko after money zaidi ya wengine wote ndani ya Chadema
3. Hata ccm ikimweka kichaa kupambana nae watambwaga
4. Hatufai ss watanzani
 
to b honest Slaa anaonekana mzalendo na mwenye maamuz zaid... urais si majisifu, kujiona bora zaid,.. thk it need a certain modest man... Slaa is probably by far lead them..
 
Binafsi mimi kwetu ni Kigoma, lakini kwa maslahi ya
Taifa nilazima ZZKanyimwe kura kwasababu ni mbinafsi mno, hana
credibility ya Uongozi,ana hasira na visasi na Umri wake hautoshi kuwa Rais
na kwa tabia yake ya kutengeneza makundi(rejea : kuhama kwa Kafulila na matusi
ya H.Mchange kumtukana Slaa kwa kumwita kazee) atakuwa kama JK.

Sababu yako ya kumchukia zzk bado hujaitaja, unajikanyaga tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Jamani, Nyerere aliwahi kusema; Kiongozi wa kweli huwa hakimbilii ikulu. Anakimbilia nini huko??? Ikulu ni mzigo mzito.

1. Zitto anakimbilia pamoja na kufahamu kuwa katika haimpi nafasi. Ana maslahi gani nako???
2. Slaa hajawahi kuitaka nafasi hiyo by his own. Amefuatwa na walioona kipaji chake cha uongozi pamoja na ubunifu wa mipango ya namna anavyoweza kuiinua Tanzania kutoka katika lindi la umasikini wa watu ndani ya utajiri uliopindukia

Tazama kwa jicho halisia utamwona Slaa kuwa juu mno ya wengine. Ndo mwasisi wa jicho kali linalolilia maslahi ya mtanzania.
Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Inashashangaza kama bado kuna watu wanawaza udini hata baada ya hayo yote yaliyotokea,pole sana.
Mtu yeyote mwenye sifa angeweza kugombea kwa tiketi ya Chadema,mbali n DR SLAA NA ZITTO,.
CHA
 
Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
I think something is wrong somewhere.
kama ingekuwa hivyo fikra za wana philosophia wa zamani waliokwisha kufa zisingekuwa zinatumika hadi leo.
 
Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

wakati mwingine chuki zinamfanya mtu kuongea maneno ya kijinga kama ulivyofanya hapo juu. kama ulikwenda shule haukuelimika.
 
sababu za kutokumchagua slaa dk.
1.Ni PADRE ss waislamu hatuna imani nae kwani mlevi haachi pombe hupumzika kwa muda.
2.Katawaliwa na jazba na hana busara hata ya kuombea maji kitu ambacho hapaswi kuanacho kiongozi.
3.Si MTU MAKINI anakurupuka kama (raisi aliye madarakani) akiaambiwa jambo hulileta moja kwa moja kwa waananchi bila ya kulitathmini juu ya ukweli wake.
4.Hana nia ya kweli ya kuwakomboa wananchi wa tanzania ndio maana alipotakiwa kugombea urais aliweka sharti la iwapo angeukosa uarais basi alipwe mshahara wa ubunge amabao atakua ameukosa.
 
Nahisi sababu yako ya kwanza inamaanisha utamchagua Zito kwa kuwa tu ni muislamu na hawezi kuacha uislamu hata kama hana sifa ya kuwa raisi.
Kumbuka hatuchagui kiongozs wa ibada hivyo suala la dini ya mtu ningeshauri lisipewe kipaumbele
 
la hasha sina maana hiyo mm akisimama mkristo yyte yule mwenye sifa za kua rais kwangu ni sawa tu alimradi asiwe slaa na asiwe na sina imaaani naye kozi sijawahi sikia PADRE kaacha upadre nahisi kuna kaaajenda hapa kanaandaliwa siko tayari kua sehemu ya ajenda hiyo
 
Back
Top Bottom