Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
bila kumdhihaki yoyote,dr slaa yupo juu sana kwa zitto kabwe, na km chadema hawatavurugana kabla ya uchaguzi mkuu na wakiendelea na kampeni nchi nzma hata kama hawatapata urais lakin watakuwa na wabunge wengi sana hata nusu wanaweza pata, cha muhmu ni mshikamano wa chama,zitto kuna kipindi alipata umaarufu mkubwa sana tatizo alikuja kukaa kimya sana mpaka ushawish wake umepungua sana, inabd arudishe umaarufu kwanza ndo awanie urais sasa hivi chadema ni dr.slaa ndo anauza so wamtumie vizuri
 
Hivi Zito anashindanishwa na Dr. Slaa kwa vile amesema anataka Uraisi 2015? Kweli Watanzania wenzangu tumekosa cha kujadilii sasa tunaanza kujadili shauku za wengine? Tunakokwenda uenda akitokea Mtu akatangaza kuwa nataka kulala chumbani kwangu basi marumbano yataanza mara moja kwenye mitandao. Katiba inasema kila mtanzania ana haki ya kugombea uraisi yaani ata wewe na mimi tunaye rumbana na kauli ya mwenye haki zito kabwe tuna haki ya kugombea, Pia ni vema mkafahamu kuwa hakuna kanuni inayo sema tarehe fulani ujitangaze kugombea uraisi, iwe ni ndani ya katiba ya jamuhuri au katiba ya CCM and CHADEMA kwa sababuhiyo nami leo Natangaza rasimiNITAGOMBEA URAISI 2015 KUPITIA CHADEMA. Kama hamtaki watu waseme sasa basi kuwe na kanuni lini na wakati gani mtu atangaze nia ya kugombea
 
Swala la kwamba nisigombee si uamuzi wa mtu fulani. hivyo wanao sema zitto asiseme sasa wanakosea walipaswa kuanza mchakato wa kuweka kanuni ya lini mtu aseme NATAKA KUGOMBEA CHEO FULANI na sio wao kugeuka kanuni. KAMA KWELI kila mtanzania ana haki ya kuwa raisi wa Tanzania kwanini watu wana hofu zitto anaposema NITAGOMBEA URAISI? Je nani anasema yeye ana haki kuliko zitto? au Kuna mtu ameandaliwa? eehh tuambizane! Lakini pia Zitto, Slaa, Mimi na wengine wote tunao taka kugombea uraisi 2015, wanaosema na walio nyamaza wote tutakuwepo hai 2015? Nadhani tuna mambo mengi ya kujadiri tena yenye maana kuliko usemi wa NITANGOMBEA URAISI 2015. Uenda wako watu wanatupima akili zetu kwa marumbano tunayo rumbana na jambo ili. Loo!
 
Zitto na Slaa!!tuache utani...bado bwana mdogo,kwanza anakurupukia vitu na he is not patient ambayo ni sifa kuu ya kiongozi yeyote.Ila anafaa kuwa kiongozi wa vijana sio nchi bwana!
 
Ndo kipimo chetu cha kufikiri. When others institutionalize things we are busy personalizing. Na tutakoma katika ulimwe huu wa "man eat man"
 
Kwa sababu tna uhakika wa kuchukua nchi bas hata slaa akiwa rais zitto anaweza kuwa wazir mkuu.ni vzur zitto ktangaza mapema nia yake il wat wapate kumpima kupitia midahalo,maandiko mbalmbal na hoja zake mblmbl
 
Aisee kura yangu ni kwa dr Slaa,kuhusu zitto naunga hoja ya mjumbe kwmba anafaa kwa post ya uwaziri!
 
Dr.slaa ndo chaguo la kwanza,Zito kabwe yeye anajidanganya anajua watu wanampenda....laah hasha,watu wameshamuona ni mnafiki na anatumiwa kukivuruga chadema.hafai, hata huo unaibu ukatibu mkuu.Ni bora aende kugombea unaibu ukatibu mkuu wa ccm huko ndo kuta mfaa.Na asifikirie akiondoka chadema kitayumba!!la hasha,tunaomba usiku na mchana aondoke tu watu tuendelee na M4C,
 
mimi ni chadema halisi lanikini siwezi kumpa kura yangu zito kwasababu najua fika kuwa zito ni mfuasi wa CCM na kikwete ni mkwewe na mambo yapo wazi kabisa.
 
by not Dr slaa next will be Zito. Reason 1 slaa must try net chance 2 slaa is old and has experience 3 slaa he gat lot of majority votes. 4 slaa have alredy make long tym praperation. That is how i think
 
Huyo babu yenu Slaa, analipi kumzidi ZITTO?. labda wizi wa wake za watu tu, na sasa hivi hata akituletea propaganda zake kanisani kwetu hatuta muunga mkono. ZITTO ni kiongozi bora , nenda jimboni kwake KG kaskazini, uone mabadiliko aliyoyaleta ni makubwa mno kwa miaka 7 sasa, kisha uende KARATU kwa huyo babu yenu Slaa aliyekuwa mbunge kwa miaka 15, uone. hakuna lolote alilofanya ukilinganisha na kipindi alichokaa madarakani.
ZITTO NI CHAGUO LA MUNGU.
 
Zimebaki siku 4 kabla ya zoezi hili kufungwa.

Rai
Baada ya upigaji kura kumalizika, tunawaomba makamanda mkae umbali wa mita 100 kutoka eneo mlilopigia kura. Pia msisahau kulinda kura zenu. Ni muhimu tuanze kufanyia mazoezi ili ikifika 2015 tuwe tumekamilika ktk ile dhana ya hakuna kulala mpaka kieleweke!

Peopleeesssssss!
 
zitto bado sana labda miaka kishirini ijayo! slaa ndio rais ajae tz....
 
Huu mchuano usiishie tu hapa jf, uende na kwenye mitandao mingine halafu Kamati kuu ya CDM ichukue kama ni sehemu ya majibu ya utafiti kabla ya kumteua mgombea na majina mengine ya wale waliotangaza nia na wanaodhaniwa kuutaka urais kupitia CDM nayo yaongezwe.
 
Zitto angekuwa mchaga angeshinda kwa kura za hapa. Ila kiuhalisia, Zitto anaweza kupata kura nyingi za CCM na CHADEMA. Babu yetu, Slaa atapata za CHADEMA TU. Tatizo hapa uzee wake tu...
 
zitto angekuwa mchaga angeshinda kwa kura za hapa. Ila kiuhalisia, zitto anaweza kupata kura nyingi za ccm na chadema. Babu yetu, slaa atapata za chadema tu. Tatizo hapa uzee wake tu...
hii mbinu ni chafu sana katika mstakabali wa siasa za hapa bongo. Acheni kudivert attention ya watu kwa kile wanachotakiwa kufanya ili kuikomboa nchi toka kwenye makucha ya wanyonyaji wa chama cha magamba. Kama kweli watu wana akili waache kumjadili dr slaa dhidi ya zzk. Ukiangalia hata itifaki ya kuandika majina utajua tu kuwa huyu ni mpenzi wa zzk kuliko dr. Slaa ambaye kwakweli amekipaisha chama katika anga za bongo. Tukumbuke mwalimu alitukataza kujadili. Tujadili falsafa , mustakabali wa taifa ndipo tufikirie ni nani atatufikisha kule tunakotaka, tujadili issue then tuone nani anaqualify kuchukua unahodha. Sioni kitu hapa watu wanajadili uislamu na ukristo tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom