Chikwakara
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 100
- 20
Tofauti ipo katika kiwango chao cha unafiki, huyu bwana ni mnafiki zaidi ya shibuda.
kichwa majisubiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Nyinyi mnaotumika kuleta migogoro mnapata faida gani!!? Mleta mada umejaza funza kichwani!!!
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Wala haitakuwa chanzo cha migogoro. Umeona matokeo? There is no competition.Hii poll ina lengo la kumtukana Dr. Slaa!!
Mmepambanisha Zena(Zitto) na Undertaker(Slaa)!!
Mods, binafsi nisingependa kuona JF inakuwa sehemu ya chanzo cha migogoro ndani ya CDM!! Nadhani mnajua fika madhara ya mada za namna hii!! "samahan kama mawazo yangu ni hasi"
Naomba muwafikishie meseji pia salamu hao wanaojitangazia kuwania uraisi nje ya vikao halali vya chama, wambieni tumewabahini kuwa wanatumiwa na ccm baada ya ccm kuona haitawezekana kumshinda kirahisi dr wa ukweli, kipenzi chetu.
Dr w slaa, aka baba wa taifa wa ukweli baada ya j . K nyerere
mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii
tuacheni dharau kwa rais wetu