Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Zitto si saizi y Dr. Slaa kabisa, saizi yake ni akina Mnyika, Mdee na wenzake. Aache mdomo hana ubavu wa Urais bali anatumiwa na CCM. Na kuna siku tutamuanika peupee ili aache upopo wake ndani ya Chadema.

Hata Mnyika ni mkali zaidi ya Zitto, Zitto ni mbinafsi sana na hayupo na wenzake kabisa as teamwork, namkubali mnyika kuliko Zitto, dr SLaa Tunamwamini na Tunamhitaji kuwa raisi wa tanganyika
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

I support Zitto:
1. Zitto ni Chadema kweli, tangu akiwa 16 na hajawahi kuwa gamba, Slaa alikuwa gamba hadi alipotoswa kwenye uteuzi ndo akakimbilia Chadema
2. Nina wasi wasi Dk Slaa kwa umri wake anaweza kukutwa na yale ya rais wa Ghana
3. Dk Slaa ni muongo saana jamani. Tatizo la Chadema hatupendi kukosolewa. Kafulila alifukuzwa kwa sababu ya msimamo wake na kumkosoa Mbowe
4. Zitto ana maono. Ishu ya mitambo ya Dowans alishauri inunuliwe, watu, pamoja na Chadema, wakamponda sana wakasema amenunuliwa, cjui nn na nn, yaani upuuzi mwingi tu. Taifa likawa gizani wakati mitambo ipo, baadaye wabunge na wa Chadema wakiwemo wakabadilisha sheri na MITAMBO ILE ILE YA DOWANS ikanunuliwa, watanzania tukarudi mwangani. Chadema tusiogope vivuli vyetu. Najua Slaa tunampenda lakini hii haimfanyi Zitto awe mbaya
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

1. Slaa ana Msimamo na anayoyasema wakati Zito kuna siku anakwenda kinyume na misimamo yake mwenyewe
2. Slaa ameonyesha uzalendo kwa vitendo na kwa maoni ya wananchi wakati Zito ameonyesha uzalendo kwa maneno na kwa maoni yake mwenyewe
3. Slaa yupo kwenye harakati za kujenga chama wakati zito yupo kwenye harakati za kujijenga yeye mwenyewe kwa mgongo wa chama.
4. slaa ameshagombea uraisi na kuonekana kukubalika na watanzania wengi wakati zito alijaribu kutaka kugombea ubunge kinondoni ikaonekana hakubaliki.

Ndugu yangu nadhani ungesema sababu kumi maana ni zaidi ya kumi.
 
wakabadilisha sheri na MITAMBO ILE ILE YA DOWANS ikanunuliwa, watanzania tukarudi mwangani.
hivi ilinunuliwa na nani?, je unajua kwanini watanzania hawakutaka kuinunua bali kuitaifisha....
 
Mimi kwangu Zitto anafaa kwa sababu slaa ni mzinzi kwa maana kwamba alitembea na kuzaa na mwanamke akiwa bado mtumishi wa bwana kosa kubwa sana hilo na kama haitoshi aliendelea kutembea na mke wa mtu ambae hata talaka alikuwa bado hajapewa.Huyu mtu sio makini hata kidogo ni mchumia tumbo tu mtu makini hata kondom havai jiulizeni wenyewe.
 
hivi hummer na vogue kanunuaje?

Nilikua namkubali sana zitto ila alipocheza rafu(kununuliwa) na kununua hayo magari ya kifahari sina imani naye tena hila still bado ni jembe kibunge bunge ila kimaslahi ya taifa mhhhhhhh!
 
Nilikua namkubali sana zitto ila alipocheza rafu(kununuliwa) na kununua hayo magari ya kifahari sina imani naye tena hila still bado ni jembe kibunge bunge ila kimaslahi ya taifa mhhhhhhh!

hivi kwa nini aliamua kwenda na hilo gari dodoma?
 
Mimi kwangu Zitto anafaa kwa sababu slaa ni mzinzi kwa maana kwamba alitembea na kuzaa na mwanamke akiwa bado mtumishi wa bwana kosa kubwa sana hilo na kama haitoshi aliendelea kutembea na mke wa mtu ambae hata talaka alikuwa bado hajapewa.Huyu mtu sio makini hata kidogo ni mchumia tumbo tu mtu makini hata kondom havai jiulizeni wenyewe.

kwani wewe ulitaka gari gani?
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

"Natoa heshima sawa kwa profesa na taahira na unataka kulinganisha thaman ya zidane na runyamila?"--Prof Jay

Zitto kumshinda Dr slaa? Baadae Sana!!
 
Zitto hafai kua prezzo coz.
1.Ni chui alovaa ngozi ya kondoo
2.Zitto ni Snitch anatumika na ccm
3.Ndumi la kuwili aka Kinyonga
4.Hana Team work hii ni kutokana na kutoaminika! Pia ni rahisi kununulika
 
Ningependa kuteuliwa kwa mgombea watu wakae chini na kumwomba ALLAH SUB HANNA WA TAALA! ili atupe hekima na maarifa ya kuchagua kiongozi sahihi, si kwa kumwangalia nje tu ni vigumu sana kumtambua mwanadamu uwezo wake kwani tuna mafundisho mengi sana, tumeyapata kwa kuangalia kwa nje tu. Pia tutoe kasumba za udini na ukabila ambao ni sumu mbaya sana, na ninahakika kwa mtu muelewa hawezi kabisa kuhusisha masuala ya imani na siasa ktk kuleta maendeleo ya nchi. Ndiyo maana katiba ya nchi haina dini, hao wanaoingiza udini ni kuishiwa kwa sera na hawajiamini. Pia tuepuke Ushabiki una madhara makubwa sana!
 
Ni upuuzi ulioje kujiingiza katika mjadala wa kijinga anaoufanya membe pale kijiweni kwake (dakika 45 itv)tujadili mambo ya msingi kama bajeti za wizara na namna zinavyoweza kuwasaidia watanzania kwani kama hazina tija watanznia wataumia na hao wagombea wenu hawawezi kuwasaidia chochote kwa kipindi hiki.
 
Kawaulize ccm kati ya lowasa na membe nani mwenye pesa nyingi ili agombee urais.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom