Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Tunapolekea huko kuna vita kubwa ya kugombea urais ndani ya Chadema.
Mkuu,unavuka mipaka....
Nani kakuambia mazishi ya rais? Hata mtembee uchi hakuna rais atatoka kwenye upadri.
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Fisadi lakutupwahivi hummer na vogue kanunuaje?
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Hivi anajua kutumia computer?
Mbona sikuhizi umeacha kuvuta limdomo lako kubwa kama Ngamia huko mjengoni ?Nani kakuambia mazishi ya rais? Hata mtembee uchi hakuna rais atatoka kwenye upadri.
Fisadi ZittoNani ana hummer na vogue
Mbona sikuhizi umeacha kuvuta limdomo lako kubwa kama Ngamia huko mjengoni ?
Hii ni dharau kubwa sana, me nadhani umekosea, labda tuwashindanishe
zito vs shibuda
naomba tuanzie hapa kwanza
mwenye uelewa kanielewa ila mjinga atachelewa.
Mbona sikuhizi umeacha kuvuta limdomo lako kubwa kama Ngamia huko mjengoni ?
Mkuu Kariakoo yote imejaa used kila mahali anzia pale kwenye round about au viwanja vya Sabasabakwani laana yake ya mauaji unadhani itamuacha?
Hivi kwani computer used ntapata wapi? Nijuze
Wewe wazazi wako mazsh yao ninan watayagharamia au utawatupa porin waliwe na sisimiz na mchwa au utaiomb manispaa ukusaidhe kuwafukia jalalan
Naona mauwaji ya Igunga,Arumeru na Iramba pamoja na kujiandikia SMS ili zionekane zimetoka Chadema hiyo laana imeanza kukutokea puaniMkuu mbona unanipa ukubwa usio wangu? Mjengoni napacheki kwa luninga tu.