Nenda mbele rudi nyuma zitto is my choice,ana kura yangu mimi na za ukoo wangu wote,tunasubili tamko lake,
dhahubu siyo Dhahabu Mkuu.tuko pamoja kaka hata wafanye nini dhahubu ni dhahabu tu.
unajifanya hujui physically ila mentally unalitambua hilo,mpo hapo tu kwa sababu ya system,hamna chenu mbele ya haki!freedom is coming, around the corner!!!:A S-baby:Rais yupi, Kikwete? Ama?
hivi hummer na vogue kanunuaje?
Nyinyi mnaotumika kuleta migogoro mnapata faida gani!!? Mleta mada umejaza funza kichwani!!!
WAtasema sana lakini wanajua kwamba ZITTO ni jembe hakuna kama yeye Chadema.
Zitto si saizi y Dr. Slaa kabisa, saizi yake ni akina Mnyika, Mdee na wenzake. Aache mdomo hana ubavu wa Urais bali anatumiwa na CCM. Na kuna siku tutamuanika peupee ili aache upopo wake ndani ya Chadema.
1.Dr. Slaa keshamaliza ujana.Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
Wadau nitafanyaje niwaone waliopiga kura? nataka niwajue pro-vatican
Ndugu zangu wa Chadema naomba niwakumbishe jambo moja la msingi sana. Adui anaweza kutumia mbinu ya kitoto sana kukuangamiza. na mbinu hii inaitwa HILA. Hila ni pale adui anapokuletea jambo ukaliona kama ni zuri kwa muonekano wa kwanza ila ukishajiingiza linakurudi na linakuweka katika hali ambayo inakugharimu au kukuweka katika hali mbaya kuliko ulivyokuwa kabla ya kukubali kuingia kwenye mtego. CCM na mapandikizi yao wanatumia mbinu ya ya kuleta hoja kuujadili uraisi kwa sasa ili Wanachadema wajisahau wabaki wanalumbania uraisi halafu hiyo iwe chanzo cha migogoro na kujisahau kupambana na ufisadi na kukujenga chama, halafu wapate upenyo wa kuwamaliza Chadema. Ukiangalia viongozi wengi wa chadema hawajihusishi sana na suala la nani agombee 2015, wengi wako bussy kukijenga chama katika maeneo mbalimbali ya nchi. Huyu Dr. Slaa anayejadiliwa hapa nakumbuka katika mahojiano na mwandishi mmoja wa habari aliulizwa kama atagombea 2015, akajibu hivi: Vikao vya chama ndio vinamteua Mtu atakayeshika bendera kukiwakilisha chama katika nafasi ya uraisi, Hivyo mimi siwezi kusema sasa hivi kama nitagombea au la. Hayo ni maamuzi ya vikao wakati ukifika. Nawaomba wana CDM tuachane na hoja za namna hii kwa sasa. hoja yetu kubwa iwe ni kupambana na ufisadi na kukijenga chama. Ili tuweze kuwangoa hawa Magamba.
Hivi nyie waklisto mboa wabaguzi? hivi sisi tunapowapigia kula waklisto hadi wanakwenda bungeni tumekuwa mabwege? kwanini hamuelimiki? mbona sisi Dr Slaaha tunampenda sana hatumbagui? kawakosea nini huyu Zitto asiyekauka midomoni mwenu? lakini kwakuwa wakristo wameanza kutubagua waislamu na sisi waislamu wote tunampenda ZUBERI ZITTO KABWE ndo swala zima tena niko tayari kuingia msikiti hadi msikiti kuwaambia waislamu wenzangu kuwa tusimchague slaa kwani ni mdini tutapata shida na dalili mmeshazianzisha yani mkianza hivyo mnavyotaka mbona 2015 kazi ipo, mana CCM mwaka 2015 lazima asimame mkristo mana katoka muislamu sasa kwanini na nyinyi msimsimamishe muislmu ambapo alitoka mklisto? kama mnapigania haki kwa maslahi ya waklisto mtachemka hakuna muislamu aliyezubaa kwa tgaarifa yenu