sasa uislamu wako unatusaidia nini sisi kama waTanzania? Hapa tunamjadili zito wala si dini yake... Lakini ulipogundua zito hakubaliki ni mnafiki kama wewe unaleta vioja na huruma za kidini,inashangaza sana ebu soma thread zote uone kama kuna sehemu umetajwa ukristo.. Hivi dini yako weak kiasi kwamba bila kusemwa semwa haitasikika? Mna matatizo sio bule.
kama ulijua siyo vizuri kutaja dini humu ndani kwanini uliingiza habari ya Zitto kuvaa barakashee na kanzu? unahuuu!!! kijana? mtumzima ovyooooooo.
kama ulijua siyo vizuri kutaja dini humu ndani kwanini uliingiza habari ya Zitto kuvaa barakashee na kanzu? unahuuu!!! kijana? mtumzima ovyooooooo.