kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Mkono huyuhuyu aliyesema patachimbika, akachimbwa yeye na akawa kimya, hakuna Mbunge hata mmoja magambani aliye kwa maslahi ya wananchi.Napendekeza Mkono, Filikunjombe na Lugola waanzishe harakati hizi, ili kama liwalo na liwe!
Naunga mkono hoja, kama si kikatiba, tumtoe kinguvu, abaki huko huko Oman asirudi huku huyo mzururaji