Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

Watz bwana blah blah blah blahhhh! Umuondoe J.K umweke nani? Nyie tatizo mnadanganywa sn na cdm. Slaa eti haamini hadi sasa kuwa si rais, anakagua miradi na masoko nae kama nani? Hata 2015 mtaishia kunawa tu ngoma bado ccm till down.
 
Mod, naomba usibanie uzi huu kwa sababu si uchochezi, bali ni uhalisia unaotokana na Katiba yetu.Nadhani huu ndiyo wakati kwa wabunge kuajiandaa KUPIGA KURA ya kutokuwa na imani na Rais Jakaya Kikwete kwa sababu ameshindwa kuongoza. Haiwezekani vurugu zote hizi nchini ziendelee, si yeye, Makamu wa Rais, wala Waziri Mkuu anayeshituka kuchukua hatua za kukemea kwa nguvu zote.

Katiba ya sasa imeainisha vizuri namna ya kumwondoa Rais madarakani kwa kutumia Katiba hiyo hiyo. Ndiyo maana napendekeza wabunge wajiandae ili Oktoba 30 watakapokutana mjini Dodoma, ajenda kuu ya Mkutano huo iwe kumwondoa Rais madarakani kutokana na kushindwa kwake kuilinda Katiba na Watanzania wote. JK asiponaswa kwenye udhaifu huu wa sasa, hatanaswa tena hadi 2015.

Nawasilisha.

you are a great thinker!keep it up! Vifad vyetu-mnyika umeona hoja ya muangamiza yule mdhaifu na watu wake?USILALE?
 
katiba ingekuwa inaruhusu wananchi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na si wabunge... kama
ilivyo sasa..
naamini kwa hali inavyozidi kuwa mbaya kwa sisim na utawala uliopo, 70% ya raia wamekata tamaa
na uongozi uliopo kuanzia ngazi ya chini hadi nafasi ya urais
 
Tatizo la wabunge ndugu wakilia kidogo tu kuhusumishahara wanongezwa.

Hili swala si la wabunge bali ni la kila mtanzania mpenda amani maana hali sasa imekuwa tete.

Serikali iko tayari kuua wale wanaotaka kuleta mabadiliko ya taifa letu hasa vyama vya upinzani na wanaharakati kama kina Ulimboka.

Nguvu ya UMA ituymike na polisi waache wananchi watekeleze wajibu wao kwa sababu katiba inawaruhusu kuandamana vinginevyo ukisema utegee hao maforong'ong'o wanaoenda kulala na kupiga mbao za viti kwa upuuzi unapoteza muda wako.

TUACHE WOGA tutafika
 
Back
Top Bottom