Japo Katiba Inayopendekezwa haina uhalali kisiasa na kisheria, lkn ni Afadhali kuliko Katiba ya 1977.
Kwhy kupiga kura ya HAPANA ili kurudi kwenye katiba ya zamani kwangu naona hakuna tija kabisa.
MY TAKE
Katiba inayopendekezwa tuikubali,alafu tuanze harakati mpya ya kudai maboresho ya vipengele vyenye mapungufu na kuongzzwa yale tunayodhani hayakuingizwa lkn yana tija kubwa.
Khaaa...!!! Ivi upo siriaz yan unataka turudi nyuma badala ya kusonga yanini uwaze kufanya marekebisho ilihali unaweza kusema HAPANA ikarudishwa ikafanyiwa maboresho.
1-unakubaliana ata na wabunge kujua kusoma na kuandika tu.emh
2-kuwa na wabunge 365 pia unakubaliana nako
3-mgawanyo wa asilimia 50/50
Kwangu mimi HAPANA
HAPANA HAPANA HAPANA.