Kura ya Hapana yazidi kupaa CHADEMA , Humphrey Polepole, Prof. Lwaitama na Askofu

Japo Katiba Inayopendekezwa haina uhalali kisiasa na kisheria, lkn ni Afadhali kuliko Katiba ya 1977.

Kwhy kupiga kura ya HAPANA ili kurudi kwenye katiba ya zamani kwangu naona hakuna tija kabisa.

MY TAKE
Katiba inayopendekezwa tuikubali,alafu tuanze harakati mpya ya kudai maboresho ya vipengele vyenye mapungufu na kuongzzwa yale tunayodhani hayakuingizwa lkn yana tija kubwa.

Khaaa...!!! Ivi upo siriaz yan unataka turudi nyuma badala ya kusonga yanini uwaze kufanya marekebisho ilihali unaweza kusema HAPANA ikarudishwa ikafanyiwa maboresho.
1-unakubaliana ata na wabunge kujua kusoma na kuandika tu.emh
2-kuwa na wabunge 365 pia unakubaliana nako
3-mgawanyo wa asilimia 50/50
Kwangu mimi HAPANA
HAPANA HAPANA HAPANA.
 
UKAWA na wanaharakati watetezi wa rasimu ya pili ya katiba watengeneze jedwali (Matrix) la kuonyesha vifungu katika rasimu ya 2 vilivyoachwa au kurekebishwa sambamba na jinsi vilivyo katika katiba pendekezwa na mwisho kwa kila kifungu waweke madhara (effects) za kuachwa ama kurekebishwa kwa kila kifungu.

Kwa kuwa wananchi wengi ni wavivu wa kusoma, nina hakika andiko hilo halitakuwa kubwa hivyo likiwekwa kwa aina ya vijalida hata wale wavivu wa kusoma wataweza kusoma.

Vijalida hivyo vinaweza kusambazwa bure kwenye mikutano ya hadhara, sehemu za mikusanyiko ya watu, kwenye foleni za magari na mahali pengine ambapo ni rahisi kusambaza.

Hivyo vijarida viwekwe picha ya Mzee Warioba na Mchakachuaji sitta, tuvisambaze vijijini,
 
Haki za kuishi zipo hata ukisema Hapana utazipata
Juna watu wanaweza kusema ndiyo na wakakosa haki ya kuishi vilevile
Hapana mpango mzima
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kwa kweli , tayari nimeanza kukuelewa kumbe lengo la kura yako ya hapana unataka madaraka ya Raisi yapunguzwe . Sasa yapi yapandishwe na kwa namna gani? Na pia , maridhiano ya kitaifa ulitaka yafanyikeje , kwani mimi nilichokuwa nafahamu maridhiano yalikuwa yakifanyikia Bungeni na wakati mwingine hata mzee alithubutu kuwasilikiza na kusikilizana na kuafikiana masualam ambayo yalikuwa yakiwa kwenye maudhui ya pa,moja kwa vyama vya siaa vyote vilivyounda TCD . So mbali na maridhiano hayo ulitaka yaweje ? au kilichokuwa kifanyike ni kukubaliana na matakwa ya mlengo fulani tu au iweje . Aisee naomba tsaidiane ili tuwe pamoja ili nami nitoke na kura kama yako , ila hadi sasa kwa kuwa nalipenda Taifa langu bado sijashawishiwa, hapo naona kama main point zako kama zote zilijibiwa na majibu yaka sahishwa siku nyingi. Som lets leave politics , twende na uhalisia . Ni yepi yanayoboa kwenye katiba pendekzwa kama kuna kipendele kinaruhusu masuala ya kuwekezana ndani au kuuana au kutoabudu au kutoheshimiana au kuruhusu ufisadi au kuruhusu kubakana au kugombana au kuibiana au kutoruhusu mfumo wa vyama vingi au n.k? twende pamoja kwa ushauri safi na wakitaalamu na kisheria ila siyo wa kisiasa ili nielewe nisipotoshwe...:deadhorse::flame::third:

Swali lako la kwanza jibu limo kwenye RASIMU II . Labda kama umezoea mabishano yasiyo na sababu!
 
Hapana kwa sababu ya kutokuwepo serikali Tatu. Mi naona hao uliowataja hawana usawishi katika jamii kwa hiyo katiba bila shaka itapita nasi tutabaki turn kulalamika name kudai Kuwa kunauchakachuaji
 
Cuf watia moto upande wa zenji- kula ya hapana ndio msimamo wao
 
Back
Top Bottom