Kura 1000 ndani ya Chupa ya chai!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Ila CCM wamefilisika ki sera na mtizamo. Yaani ni kama za mwizi 40! Yaani wamechakachua hadi uchaguzi wa east africa! Nadhani inabidi akina Benjamin wakatafute uzoefu wa Arap Moi wa Kenya jinsi ya kuishi kama muasisi mpinzani. Maana sipati picha kama upinzani ukichukua nchi nadhani akina Ben watakosa kabisa mialiko.
 
....aaaaahhh!...hii shortkat nimepita kumbe inatokezea kwenye siasa tena...ggrrrr!
 
siku ya kufa nyani.....
ndio CCM sasa, kila wanapo shika panateleza.
 
Back
Top Bottom