Tatzo sio upigaji muziki tu,huo ni mfano tu uliotolewa lakini Kuna hata ule uludiajiuludiaji uliopitiliza WA vipindi au maonyesho au matukio ambayo yameshapita hadi unaona kabisa haya yanafanyika ili kupitisha Muda kwakuwa hakuna vipindiNafikiri ili kuwahukumu lazima ujue lengo la uanzishwaji wa Clouds TV , kila chombo cha habari kina lengo la uanzishwaji , ndiyo maana baadhi ya vituo vingine kwenye nchi za ughaibuni vinapiga muziki mwanzo mwisho ili kukidhi lengo la uanzishwaji, kwahiyo sidhani kama ni sahihi kuwakosoa TV Clouds, aidha tatizo la kutokuwa na vipindi sio kwa Clouds tu, naona Tv nyingi hapa Tanzania kuna muda fulani ndiyo kuna vipindi ambavyo vina uzito vinginevyo sijaona tofauti kubwa.
Mambo ya mwewe sio ha ha haaTaarifa ya habari ndio ina nichoshaga
Makonda amewaroga hao
[emoji23]Muogope Mungu mdau kwa kumsingizia hayo Mh. Makonda.
Niko kwenye ajira ambayo haiwez kunipa fursa wala ruhusa ya kufanya hayoMkuu hiyo ni fursa kwako. Kama umeweza gundua wanapwaya kwa vipindi, fanya tafuta programme itayoweza ziba hiyo mianya. Naamini Ruge atakuelewa tu. Kamatia fursa twenzetu.
Apige simu ya nini wakati clouds walikataa kuonyesha shirawadu ya Askof.Hvi bado anko magu anapiga sim clouds kuwapongeza
OvA
Kinakuchosha ni nini? Mtangazaji a.k.a Wali Nazi ama?Taarifa ya habari ndio ina nichoshaga
Nakuunga mkono!Ila 360 wafanye marekebisho kidogo yule dogo mrefu anaitwa sijui sizya angekuja akachukua nafasi ya hasan maana duh anabishana sana pale mpaka inakuwa makelele sana.
TISSNiko kwenye ajira ambayo haiwez kunipa fursa wala ruhusa ya kufanya hayo