REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,254
- 11,486
ulitaka watu wa shilawadu ndio wakaripoti matukio ya namna hiyo?Kuna tatizo la dominance ya kipindi kimoja kinaitwa 360. Hicho kipindi ndo kitaiua clouds.... Kama wanaweza wafanye regulation haraka sana. Kwa mfano ili uonekane kuwa umehojiwa na ukahojika ni lazima uhojiwe na Hassan, au babie... Na siku hizi wanamuongeza masoud.
Ni mbaya kwa televisio inayotazamwa siku nzima kutegemea kipindi kimoja. Naona sasa hivi hata matukio ya kitaifa yanayofanyika Muda ambao sio wa 360, bado yana rushwa na haohao watangazaji wa 360....
"......kufilisika kunaanza baada ya kupata ziada"
Hahahahahahaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Star TV sikuhisi imeamka saana kwenye Vipindi haichoshi kuangalia mi saizi nimehamia huko
Clouds hawana kipindi cha maana zaidi ya taarifa ya habari nayo baada ya kuanza kutangaza kwa mtimbo wa kughani ngonjera basi kipindi kizuri kilicho baki ni tangazo la coca cola la kunywa hapa hapa
Clouds in general wamejikita zaidi katika burudani ya mziki ndiyo maana clouds tv haiwezi kuwa kama itv maana target ya audience wao ni tofauti kabisa.Hapana watengeneze vipindi,Kuna Muda mwingi kunakuwa hakuna vipindi inabidi waweke tu miziki