MPYA Je, kufunga ni njia bora ya kupunguza uzito?

MPYA Je, kufunga ni njia bora ya kupunguza uzito?

Taarifa hii ni mpya na bado inafanyiwa tathmini
Source #1
View Source #1
WAkuu hivi haya madai kuwa kufunga ni njia bora ya kupunguza uzito ni ya kweli?

Gemini_Generated_Image_kkmy8gkkmy8gkkmy.jpg
 
Watu wengi hunenepa kutokana na vyakula. Mimi nimeona hiyo mbinu ikinisaidia, nakula mlo mmoja tu mchana na usiku matunda kidogo basi.
 
Back
Top Bottom