Kupunguza kuzeeka na kuwa na ngozi laini na changa

vitaje majina
Kila mtu na ngozi yake chief

nmevipanga ninavyovijua kulingana na matumizi
Mf scrub,face wash,cleanser,toner,day cream,night/repair cream na sunscreen

hapo bado body cream ya ngozi na mafuta ya nazi for a little glow smtimes kwa juu baada ya sunscreen

Nachojua kuwa na matokeo mazuri lazma kwenye ngozi umix suala la kunywa maji/vinywaji/diet/lishe nzuri na vipodozi vizuri pia na mazoezi na mapumziko
Mambo ni mengi kwa kweli
 
hatari mavipodozi kibao
 
Walio na umri wa miaka 35 na kuendelea na anautayar wa kugharamikia ngoz yake kwa 240,000 anitafte nimpe set ya ecollagen, ni uhakika.. Ila usiwe na chunusi.. Kma unachunusi inabid kushughulikia hizo kwanza
Hii set ya eclollagen ndio ikoje?? Mbona mapesa mengi sana??
 
Tumia Mchanganyiko Huu Utakaokuwezesha Kupata Matokeo Haraka Sana Bila Gharama Kubwa
Maziwa Ya:-
Tembo, Fisi, Sokwe, Nyati
 
Nishauri kuhusu..serum..naziona Nyingi Sana ..ila.nashindwa Just nitumie ipi.?
 
Lotion ipi nzur inayosaidia ngozi kutokuuguzwa na mwanga wa jua
 
Lotion ipi nzur inayosaidia ngozi kutokuuguzwa na mwanga wa jua
.hii hapa
IMG-20201219-WA0009.jpg
 
Jamani chunusi zinanisumbua usoni na mabegani na kifuani.zikipona zinabakiza vimadoa doa vyeusi.nitumie nini kuondoa?
natumia miracle medical soap na lotion yake..ni salama?ngozi yangu ni ya mafuta
Mie nilikuwa kama wewe nilikuwa namadoa mengiiii ata kuvaaa nguo zamabega waz nikawa cwez ila nikatumia tentmoso ile sabuni ata duka la madawa wanauza nikawa napaka povu lake baada ya dk 5 naenda kuoga pia nikawa naogea iyoiyo sabuni alf baada yakuoga nikawa natumia bio oil miez mi3 tu cna ata doa1 cc iv navaaa nguo yoyote
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom