KUPUNGUA UZITO KWA KASI.

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,593
6,009
Hellow wanajf miaka kadhaa nyuma nilikwa na UZITO kilogram 58 ambazo nimekaa nazo kwa takribani miaka mi5. Lakini miaka miwili ya karibuni niliongezeka kidogo na kuwa kg 63. Lakini Cha ajabu kwa miezi minne iliyopita mpaka jana nilivyopima Tena nmerudi Hadi kg 60 kamili.. toka wiki mwezi mmoja uliopita nilipima Nikiwa na 61:15..
Naombeni ushauri je Kuna tatizo kwa anguko hili? 58_63
63-61:15
61-60.0
 
ni kawaida, msosi, mawazo, kutokulala vyema, kugegeda sana na huli kati ya hayo yanaweza changia endapo huumwi.. so ni ww ndo unajua lifestyle yako na ni nn kimebadilika kati ya hayo
 
ni kawaida, msosi, mawazo, kutokulala vyema, kugegeda sana na huli kati ya hayo yanaweza changia endapo huumwi.. so ni ww ndo unajua lifestyle yako na ni nn kimebadilika kati ya hayo
Siumwi Wala Nini..sema hyo moja itakwA ndo inantafuna"" mawazo""
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom