Mzee Dogo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 400
- 140
Nakumbuka wakati Nay wa mitego amekamatwa alitoa ujumbe kupitia account yake ya instagram akieleza kuwa watu waliomkamata walikuwa wamejitambulisha kama maafisa wa polisi, so jamii ilijua fika kuwa yuko mikononi mwa polisi, nafikiria kwa sauti asingefanya hivyo huenda angepotea pia kama saanane na wengineo. Nimeiona njia hiyo pia akiitumia tundu lisu mara kadhaa, Leo hii kama Roma angekuwa amepata fursa ya kupost chochote kingesaidia jamii kujua inaanzia wapi katika kumpata.
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app