DoubleOSeven
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 661
- 143
Hata wazalishaji wa mafuta wagawe mafuta bure, tz mafuta bei itaendelea kupanda tu.
Hii Serikali ni wezi na inaongeza gharama za maisha kwa Watanzania kwa njia za wizi ili kuendelea kukusanya pesa nyingi kupitia kodi. Kufuatia kuanguka bei ya mafuta duniani, nchi nyingi bei ya litre moja imeanguka kati ya 30% to 40% lakini nchini bado bei ni ile ile bila nafuu yoyote ile.
A renewed plunge in oil prices is a worrying sign of weakness in the global economy that could shake governments dependent on oil revenues. It is also a panacea as pump prices fall, giving individuals more disposable income and lowering costs for many businesses.
.... Pipa la mafuta kwa bei ya USD 78 ni kushuka kwa zaidi ya asilimia 30 ukilinganisha na bei ya awali. Pamoja na porojo za ununuzi wa pamoja wa bidhaa hii kwa ajili ya soko la Tanzania, bado bei ya rejareja iko pale pale. Kisingizio ni pamoja na kuporomoka kwa thamani ya shillingi ya Tanzania. Ukweli ni kwamba bei ikishushwa makusanyo ya tozo za kodi mbalimbali yatashuka mno. Sasa na wanywaji bia nao wakisusa sijui itakuwaje!
Ngoja tutawasakazia kafulila hawa ewura na hawatasahau kitakachowapataMkuu Candid Scope, chombo husika cha kupanga bei ta petrol ni Ewura lakini taasisi hiyo nayo ni janga kubwa la Taifa. Leo bei ya pipa moja imeshuka mpaka kufikia $68.20 jana ilikuwa $70.
Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)
Mkuu Candid Scope, chombo husika cha kupanga bei ta petrol ni Ewura lakini taasisi hiyo nayo ni janga kubwa la Taifa. Leo bei ya pipa moja imeshuka mpaka kufikia $68.20 jana ilikuwa $70.
Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)
Ngoja tutawasakazia kafulila hawa ewura na hawatasahau kitakachowapata
Kwakweli tunatia aibu sana nchi masikini kuonesha hatujali namna hii wakati wanaotupa misaada(matajiri) wanajali sana.
ASANTE KWA HII COMMENT YAKO. TATIZO LETU NI UMIMI UMETUZIDI, MPAKA TUNAUA WATU MASKINI KWA MAAMUZI YA KIPUUZI KAMA ESCROW wangapi wamekufa kwa kukosa dawa na hakuna anayejali, maana wao wakiumwa wanapelekwa ulaya asif obama ukiugua analetwa bongo!!!!Kwakweli tunatia aibu sana nchi masikini kuonesha hatujali namna hii wakati wanaotupa misaada(matajiri) wanajali sana.
Ngoja tutawasakazia kafulila hawa ewura na hawatasahau kitakachowapata