Kuporomoka kwa bei ya mafuta duniani

DoubleOSeven

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
661
143
A renewed plunge in oil prices is a worrying sign of weakness in the global economy that could shake governments dependent on oil revenues. It is also a panacea as pump prices fall, giving individuals more disposable income and lowering costs for many businesses.

.... Pipa la mafuta kwa bei ya USD 78 ni kushuka kwa zaidi ya asilimia 30 ukilinganisha na bei ya awali. Pamoja na porojo za ununuzi wa pamoja wa bidhaa hii kwa ajili ya soko la Tanzania, bado bei ya rejareja iko pale pale. Kisingizio ni pamoja na kuporomoka kwa thamani ya shillingi ya Tanzania. Ukweli ni kwamba bei ikishushwa makusanyo ya tozo za kodi mbalimbali yatashuka mno. Sasa na wanywaji bia nao wakisusa sijui itakuwaje!
 
Hii Serikali ni wezi na inaongeza gharama za maisha kwa Watanzania kwa njia za wizi ili kuendelea kukusanya pesa nyingi kupitia kodi. Kufuatia kuanguka bei ya mafuta duniani, nchi nyingi bei ya litre moja imeanguka kati ya 30% to 40% lakini nchini bado bei ni ile ile bila nafuu yoyote ile.

Hata wazalishaji wa mafuta wagawe mafuta bure, tz mafuta bei itaendelea kupanda tu.
 
Hii Serikali ni wezi na inaongeza gharama za maisha kwa Watanzania kwa njia za wizi ili kuendelea kukusanya pesa nyingi kupitia kodi. Kufuatia kuanguka bei ya mafuta duniani, nchi nyingi bei ya litre moja imeanguka kati ya 30% to 40% lakini nchini bado bei ni ile ile bila nafuu yoyote ile.

Marafiki wakubwa wa viongozi wa CCM ni Ujinga, umaskini na maradhi. Serikali ya CCM wapo radhi wafungue vituo vya kupigia kura hadi mahospitalini kama unashindwa kutembea utapiga kura hapo hapo kitandani, hata ukiwa kwa mganga wa kienyeji au india, utaletwa box la kura upige kura yako ya kuchagua CCM.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
A renewed plunge in oil prices is a worrying sign of weakness in the global economy that could shake governments dependent on oil revenues. It is also a panacea as pump prices fall, giving individuals more disposable income and lowering costs for many businesses.

.... Pipa la mafuta kwa bei ya USD 78 ni kushuka kwa zaidi ya asilimia 30 ukilinganisha na bei ya awali. Pamoja na porojo za ununuzi wa pamoja wa bidhaa hii kwa ajili ya soko la Tanzania, bado bei ya rejareja iko pale pale. Kisingizio ni pamoja na kuporomoka kwa thamani ya shillingi ya Tanzania. Ukweli ni kwamba bei ikishushwa makusanyo ya tozo za kodi mbalimbali yatashuka mno. Sasa na wanywaji bia nao wakisusa sijui itakuwaje!

Marekani sasa hivi gallon moja ya unleaded ni $2.15 kutoka $3.50, Tanzania hakuna tofauti licha ya soko la bidhaa ya mafuta kuporomoja ghafla. Hatuna chombo kinachofuatilia?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sasa bongo kutakuwa vipi na punguzo la bei wakati hizi ni biashara za watu wenye watu kwenye system??hapa bongo huwa vitu vinapanda bei tu hakuna kushuka wakishusha utaona wanapunguza sh 1 au 5 mfano kama ilikuwa 2125 yatashuka hadi 2122 ni ujinga tu
 
Last edited by a moderator:
Nchi ya kibwege Sana hiii, lakini wananchi ndo tunataka wenyewe, zambia mkate ulipanda kwa ongezeko Sawa na shilingi 100 tuu watu wakaandama, Bongo watu weshaiba mpaka basi, Sasa wanaiba hadi wanawapa na ukooo wao wabongo bado tunalalamika tuuu hatuchukui hatua , ndo maana hawana wasiwasi, kwani wanajua wtz hawana mbavu ya kuwatoa sanasana watawapa likizo ya kutafuna kodi zetu tuuu
 
mmeambiwa delete ccm mnaona haya,basi komaeni na wazee wa escrow mpaka masiha arudi
 
LOL! Kafululila kiboko ya wahuni, tumbili na mafisadi. Bei ya pipa moja imeanza kushuka katika soko la dunia kama sikosei miezi minne iliyopita, tuanze kuhesabu muda mpaka hapo EWURA watakapoamua kushusha bei kwa kiwango kinachostahili at least 30% kwa litre moja.

Ngoja tutawasakazia kafulila hawa ewura na hawatasahau kitakachowapata
 
Nchi nyingi watumiaji wa hii kitu wanafurahia sana kushuka kwa bei ya litre moja kwa kati ya 30% to 40% Bongo bado tunalanguliwa tu!!!

Kwakweli tunatia aibu sana nchi masikini kuonesha hatujali namna hii wakati wanaotupa misaada(matajiri) wanajali sana.
 
Kwakweli tunatia aibu sana nchi masikini kuonesha hatujali namna hii wakati wanaotupa misaada(matajiri) wanajali sana.
ASANTE KWA HII COMMENT YAKO. TATIZO LETU NI UMIMI UMETUZIDI, MPAKA TUNAUA WATU MASKINI KWA MAAMUZI YA KIPUUZI KAMA ESCROW wangapi wamekufa kwa kukosa dawa na hakuna anayejali, maana wao wakiumwa wanapelekwa ulaya asif obama ukiugua analetwa bongo!!!!
 
Hatimaye EWURA yashusha bei ya petrol, lakini 7% ni ndogo sana ukilinganisha na karibu 40% ya kuanguka kwa bei ya pipa moja katika soko la dunia.


[h=2]Fuel prices down almost 7 per cent[/h]


By Yakobe Chiwambo

3rd December 2014

headline_bullet.jpg
Depreciation of shilling limits drop


Energy Water Utility Regulatory Authority (EWURA)

Effective today, most all fuel prices at the pump will drop by over 100/-, Energy Water Utility Regulatory Authority (EWURA) has announced and said that were it not for the depreciating Tanzanian shilling, the prices would have dropped even more.

Prices per litre for petrol, diesel and kerosene today drop by 149/- (6.83 per cent), 119/- (5.85 per cent) and 106/- (5.31 per cent) respectively, the Authority has said.

Apart from the retail price, the wholesale prices have also decreased by 148.66/- (7.16 per cent), 118.69/- (6.16 per cent) and 105.81/- (5.59 per cent) for petrol, diesel and kerosene respectively.

"This notable drop in retail and wholesale prices is the result of continued falling of World Oil Market prices and a decrease in the supplier's premium rates," EWURA Director General Felix Ngamlagosi explained in statement issued yesterday.

"Prices would have dropped further had it not been for depreciation of the Tanzanian Shilling against the USD," he went on to explain.

He said EWURA shall continue to encourage competition in the sector by making available petroleum products pricing information including the price caps.

"This information on prices is intended to enable stakeholders make informed decisions on petroleum prices at a particular time," he noted.

"Oil marketing companies are free to sell their products at a price that gives them competitive advantage, provided that such prices do not exceed the price cap for the relevant product," he added citing that the approved formula was gazetted through Government Notice No. 432 of November 29, 2013.

Commenting, renowned economist, Dr Joseph Massawe said while generally speaking, fluctuations in the price of petroleum products have a direct impact on the prices of other products and services as well, today's drop of fuel prices may not necessarily lead to the reduction in prices for other commodities and services.

"Generally, the prices of things and transport costs are supposed to equally reduced but the fuel price reduction may not be 100 per cent reflected due to other fluctuating factors like exchange rates between Tanzanian shilling against major currencies," he cautioned.

He said other factors that may lead to the low reflection of the fuel price drop in include poor infrastructures like roads and prices of vehicle and machinery spare parts.

"Fuel is a very important component in the economy…with other factors generally being constant, when the prices are up, the price for almost all other things also goes up and vice versa," he said.

"With the current reduction, we expect the inflation to be reduced," the economics guru projected.

Last month, the price for petroleum products also decreased. The retail prices for petrol, diesel and kerosene respectively decreased by 14/- (0.66 per cent), 37/- (1.81 per cent) and 22/- (1.10 per cent) per litre.

Similarly, wholesale prices of petrol, diesel and kerosene dropped by 14.40/- (0.69 per cent), 37.32/- (1.90 per cent) and 22.17/- (1.16 per cent) per litre respectively.

Elsewhere in the world, it is reported that consumers have so far got only a fraction of the steep fall in crude prices, says the Economic Times citing that Brent crude has dropped about 40% since June, but the price of petrol, diesel, jet fuel and commercial LPG have fallen barely 8%-17%.

Officials explain that the price movement of international crude oil and global petroleum products are often not same and that international crude prices fall faster than global prices of petroleum products on which domestic retail prices of petrol, diesel and cooking gas are based on.

SOURCE: THE GUARDIAN

 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom